Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Watanzania wamekataa kupandikiziwa Saliti na mabeberu basi! Mbona Lowassa alipewa kura nyingi? Lakini huyu wenu ninaimani hata Mbowe hakjmpa kura yake! Ni aibu, aibu wasirudie tena kutuletea kibaraka.Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
Hakuchaguliwa na wapiga kura bali kasimwikwa kishetani na wakurugenziccm, NECCCM Tumeccm na Polisiccm na vyombo vingine vya dola , ni kama mapinduzi ya kijeshi, hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kufanya vioja maigizo kuuhadaa ulimwenguMi kumbukbu nzuri kuwa Rais wa kwanza kuapishwa Dodoma alikuwa ni tunda la uovu. Alipatikana kwa uchaguzi bandia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.
Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.
Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
Hongera JPM, nina imani wasaidizi wamehakiki hotuba yake ili awe Baba na tumaini la wote.Pia ataongea kujutia mapungufu maafa Watz wenzetu waliopata masibu.
Watanzania wa wapi unawasemea? Labda watanzania unaoshinda nao ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba, kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kupiga Trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Kununua Ndege kifisadi kupiga 10% cash ? Wapi mikataba mipya ya madini?WaTanzania wamekataa kupandikiziwa Saliti na mabeberu basi! Mbona Lowassa alipewa kura nyingi? Lakini huyu wenu ninaimani hata Mbowe hakjmpa kura yake! Ni aibu, aibu wasirudie tena kutuletea kibaraka.
Polepole aliimgia CCM akiwa masikini lakini sasa ni tajiri kuliko Bashite makonda ambaye ni tajiri kupitia fursa za uonevu wa mtukufuKitu nachompendea Magufuli habagui kwenye mateso, wote tunaonja joto ya niwe!
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi, pesa za viwanda na pesa za maendeleo kwa ujumla zinatumika kudidimiza demokrasia kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja kienyeji kwa njia haramu za kishetani, hawataki maendeleo kabsa wapo radhi Nchi ikose maendeleo lakini CCM iendelee kuifirisi Nchi bila hurumaHili litasaidiaje Maendeleo ya Mwananchi mmoja mmoja?
Aiseee!!!!Na ndio rais wa kwanza hata maliza miaka 10 katika utawala wake.
Na watakuwepo viongozi wa Dini bila Aibu wala uogaAnaapa kwa kutumia biblia?
Hawa watu wanafurahisha sana.Na watakuwepo viongozi wa Dini bila Aibu wala uoga
Na ndio rais wa kwanza hata maliza miaka 10 katika utawala wake.
Kuapishwa Dodoma kunasaidiaje kuondoa dhulmaRais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.
Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu walikuwa wakiapisha katika mji maarufu wa Kibiashara, Dar es Salaam.
Mwaka 2020, Dkt. John Magufuli katika kuapa kwa kuongoza katika muhula wake wa pili ataapa katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Novemba 5.
Na kupitia uchaguzi huu huenda watanzania wengi wakawa wapagani au watoro kwenye nyumba za ibada kutokana na kupungukiwa imani kwa viongozi wa Dini TanzaniaHawa watu wanafurahisha sana.
Dua la kuku! Magu akifa atakuwa kiongozi wa malaika, wewe unaemuombea mabaya utakuwa unaungua motoni.Nyie muapishieni kokote tu tayari analo doa ktk Utawala wake na kwa huyo Mungu wake anae mtumia kuapa.
Wamezikimbia Tochi za Marekani zilizopo baharini zisiwamulike vizuriKuapishwa Dodoma kunasaidiaje kuondoa dhulma