Ndumilakuwili kama wewe ni kinyaa kuwa Mzalendo wa Taifa hili maana huna tofauti na YUDA ISKARIOTE kuhusu usaliti kwa jinsi unavyohama hama kushabikia timu tofauti tofauti kama konokono mwenye jinsi 2 (Ke & me) [emoji57]Kwenye ubora wao UTO
USM ALGER DAMU
BA NTWA
Rais ameshaagiza hivoo!! Kumbe hata Rais wa nchi anafahamu basi kesi imeisha. TFF ni mama wa timu zote, kama timu yake moja ikifanya vizuri kimataifa timu hiyo inapata, TFF inapata, nchi inapata na hata siasa zetu zinapata pia. TFF isisubiri mkuu wa nchi aagize kuhusu hili ni wajibu wao.Kwenye ubora wao UTO
USM ALGER DAMU
BA NTWA
Atapigwa mumeo na ugali hautalika siku iyo.Usm Alger njoo utuondolee huu unyonge.
Ningeshangaa Mama asijue vitendo vya Karia.Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali.
Hapa pa kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali ndipo paliponifikirisha sana mm. Nikajiuliza kumbe Mama pia anafahamu kile TFF inachokifanya kwa Yanga? Anajua TFF haiongelei vizuri Yanga? Kumbe Rais wetu ni mwanamichezo kindakindaki!!
TFF jamani msisuburi hadi Rais wa nchi aseme!!! Mama asingeyasema Yale kama yasingekuwepo hapo TFF.
Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuitaka TFF walitolee ufafanuzi suala hilo, ni vizuri kama amekuja kuliongelea maana ni wajibu wao pia. Furahieni mafanikio yenu ila acheni upotoshaji na ubishi usio na maana.Imagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida
Hakutakuwa na mgogoro kwa sababu TFF, CCM na serikali ni kitu kimojaTaratibu serikali imeanza tena kuingilia mambo ya mpira, ni suala la muda tu kabla migogoro kati ya serikali na TFF haijaibuka upya.
Hakina Msomali na wenzake ni wahuni waliojificha kwenye uongozi wa sokaImagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida
Unajua karia ni DED ? labda awe amehamishwaNingeshangaa Mama asijue vitendo vya Karia.
Hahahaha, ili mradi ngoma iwe drawImagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida