Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

...juzi msanii yule kule kwa madiba alikuwa kanuna muda wote wakati Yanga wanajilia vyao ugenini na watu wote wanafuraha na kushangilia yeye na macho yake kama karunguyeye kasoro yeye white anaangalia anagalia tu huku na huko utadhania kuna jambo limemkuta,alikuwa hajielewi hata kwa nini yupo uwanjani.!mdau mmoja akaniambia huyo ni kolo kindaki ndaki sema bongo dukna kachukua wizara kisela.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona kalunguyeye
 
Yanga imefanya jambo kubwa, tuache ushabiki wa kijinga. Hata jemedali Said kaitwa ikulu


RAIS SAMIA AKISHIRIKI CHAKULA​

 
Back
Top Bottom