Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

Nchi hii Ina watu wa ajabu sana.
Ila mi nimefurahi sana pengine neno hili la mtukutu limemfanya rais akubali maombi yake.

Sisi wananchi wa kibamba tunataka maji na barabara....sasa tunahesabu miezi miradi itaanza na kukamilika.

Kongole kwa Mtemvu!!!!
 
Ndugu yangu duniani napo kuna watukufu. Hilo lisikuumize kichwa.

Walikuwepo watukufu hapo kale kidogo japo kwa sasa hawaitwi tena watukufu. Mfano Mtukufu Ali Hassani Mwinyi, Mtukufu Daniel Arap Moi....n.k

Bb johnthebaptist
Hata Majaji na Mahakimu ni watukufu bila kuisahau Mahakama yenyewe.
 
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.

Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.

Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Luis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!

Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Mwanry aliwahi kumfananisha na yesu masiah
 
Ndugu yangu duniani napo kuna watukufu. Hilo lisikuumize kichwa.

Walikuwepo watukufu hapo kale kidogo japo kwa sasa hawaitwi tena watukufu. Mfano Mtukufu Ali Hassani Mwinyi, Mtukufu Daniel Arap Moi....n.k

Bb johnthebaptist
.
FB_IMG_1606244845186.jpg
 
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.

Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.

Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Luis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!

Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Kwa hiyo kinacho kushangaza wewe nini?
 
Kwa taarifa yako zamani ilikuwa inatumika Mtukufu Raisi.... Awamu ya kwanza na ya pili...

Kabla haijaanza kutumika Mheshimiwa Raisi....

Utakuwa mtoto wa juzi wewe....
 
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.

Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.

Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Luis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!

Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Hebu weka video tuone Kama kweli unachosema
 
Nakumbuka nabii mmoja alipojipa tu jina la utukufu Mungu akamuua. Msimrahisiamshie Mungu kazi!
 
Nyerere hakuitwa Mtukufu alikuwa comfortable kuitwa Mwalimu, Mwinyi na aliyopo leo madarakani tu ndo Watakatifu, kwa sababu MaCCM yanafanya kila kitu kwa mazoea, wapambe walianza kumtukuza Mkapa lakini aliwakemea mapema wakaacha. Kikwete hakuitwa Mtukufu kabisa kwa kuwa alikuwa anajiweza kwa mengi na alikuwa karibu na watu mpaka wakawa wanamwita Shemeji kwa niaba ya Walimu. Wasiojiweza ndo wanajikweza na kukwezwa na wasiojiweza!
 
Back
Top Bottom