Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Alishajiita ni mkuu wa malaika.
Wewe unashangaa mtukufu, serious!??
Wewe unashangaa mtukufu, serious!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeweka historia tu kwamba na yeye aliitwa Mtukufu na ilianzia kwake. Binafsi namkubali sana Mwalimu lakini huo ndio ukweli.Nyerere alikuwa hapendi kujikweza! Hayo ni mambo ya magufuli!
hahaahahaahaMtoa post hujawahi ona MAJALIWA akipita huyu jamaa mbele yake huinua had mikono kuonesha utukufu wa huyu kanjanja yaaan PM huinama kama yupo altare kabsa, inaleta simanzi sana.
Sio sahihi kabisa ila waliitwa.Sasa unaonaje whether Nyerere na Moi waliitwa watukufu,ni sahihi mbele za Mungu?
Tuwaambie vijana historia yenye ukweli tena yenye logic. Inajulikana Mkapa alikataza na wewe unasema Nyerere hakuitwa hivyo, kwahiyo unatuambia aliyeanzisha ni Mwinyi? Bro na mimi nilikuwepo enzi za Mwalimu.Umesema uwongo. Mwalimu Nyerere alikataa kabisa kuitwa mtukufu au mheshimiwa. Yeye ndiye Rais aliyesababisha viongozi wote waitwe NDUGU.
Mimi niliwahi kusoma risala mbele ya Mwalimu Nyerere nikiwa mwanafunzi darasa 5, kiongozi wa chipukizi, kila aya nilianza na NDUGU RAIS.
Nazungumza kwa uhakika, maneno ya Mtukufu na Mheshimiwa yalianza wakati wa utawala wa Mwinyi.Tuwaambie vijana historia yenye ukweli tena yenye logic. Inajulikana Mkapa alikataza na wewe unasema Nyerere hakuitwa hivyo, kwahiyo unatuambia aliyeanzisha ni Mwinyi? Bro na mimi nilikuwepo enzi za Mwalimu.
Labda nimechanganya mambo. Nitafanya utafiti zaidi. Asante.Nazungumza kwa uhakika, maneno ya Mtukufu na Mheshimiwa yalianza wakati wa utawala wa Mwinyi.
Unajua wakati wa Mwinyi kulikuwepo na jitihada ya kutaka kuongeza hata muda wa uongozi. Kulikuwa na watu waliokuwa wanajipendekeza sana kama kipindi hiki. Wengine walifikia kusema kuwa inakuwaje yeye Mwinyi awe Rais kwa miaka 10 tu wakati Mwalimu alikuwa Rais kwa zaidi ya miaka 20. Kulikuwa na fukuto kubwa kipindi hicho, Ni bahati mbaya tu wakati ule njia za kupata habari hazikuwa rahisi Kama zilivyo sasa. Lakini Mwalimu alisimama imara kweli kuhakikisha hilo halitokei.
Ha ha haNchi hii Ina watu wa ajabu sana.
Unamuuliza nani?
Unamuuliza nani?
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Katika kutafsiri maamkizi ya kiitifaki, neno mtukufu linatokana na neno His/ Your excellency.Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Mi sina shida sana bali wasiwasi wangu ni kuwa inatoka moyoni au ndio mtumikie kafiri upate ujira wake hizi ni medani za kichawi chawi ndizo zinakupa shida wewe.Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.
Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.
Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!
Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Katika kutafsiri maamkizi ya kiitifaki, neno mtukufu linatokana na neno His/ Your excellency.
Kwenye Kiingereza, "Your Excellency" haina tatizo sana, kwa sababu haiunganishwi na habari za dini/Mungu.
Lakini hilo neno excellency likitqfsiriwa Kiswahili kuwa Mtukufu, linaleta utata kidini.
Mkapa alikataa kuitwa mtukufu.
Hizo habari za kusujudiwa mpaka ardhini ni level nyingine.
Kisukuma wanaume wakubwa huwa tunapigiwa magoti na wanawake, hususan tuliiwazidi umri, wakati wa kusalimiwa, lakini hili halipo kwa wanaume wanaposalimiwa na wanaume au wavulana.
Zaidi ya yote, hata habari za utukufu wa Mungu ni idea tu. Mungu hajathibitishwa kuwepo.
Kivipi?Magufuli Ni chaguo la MUNGU
Umeshanifahamu
Hiyo lugha si issue sana, issue ni hiyo image ya rais kusujudiwa mpaka ardhini.Pia nafikiri kivumishi tu hakiwezi fanya mtu kuchukua sifa ya mtu mwingine.
Mfano kwenye Bible Mungu anasema mimi ni "Bwana Mungu wako" mbona watu tunaitana tu ma bwana fulani na hatutishani kwamba tumechukua sifa ya Mungu? Kuna wengine hadi wanajiita ma Landlord.
Lazima nafikiri watu tuelewe kuchanganua sentenso na siyo kufanya kuzichanganya changanya ili kuwachanganya hadhira.
ukisema Bwana MkamaP ni tofauti na kusema Bwana Mungu. Watu wanakwama wapi?