Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

Unazifahamu dini zote?
Unaijua dini ya Kihindu?
Upo Sahihi kabisa

Mtukufu ni mwenyezi Mungu pekee kwa upande wa Dini zote.

Ipo siku magufuli ataitwa Jehova na atachekelea tu.
 
Hiyo lugha si issue sana, issue ni hiyo image ya rais kusujudiwa mpaka ardhini.

Pia kupiga magoti kwa namna yoyote ile siyo kusujudia. Wanamme siku hizi wanapiga magoti kwa wanawake kuwaomba uchumba.
Na baadhi ya makabila mengi tu mwanamme akiwa anaongea na mama mkwe unapiga magoti. Kupiga magoti ama kuinama ni alama ya heshima, kama mwanajeshi kupiga salute. Watu itafikia hata askari akipiga salute basi anasujudu. Kuinama ama magoti ni ishara ya heshima siyo kusujudu hii ni toka enzi za mababu.
Yeye Magufuli wakati wa kampeni aliwapigia magoti wananchi, ina maana alikuwa anawasujudia wananchi?
 
Pia kupiga magoti kwa namna yoyote ile siyo kusujudia. Wanamme siku hizi wanapiga magoti kwa wanawake kuwaomba uchumba.
Na baadhi ya makabila mengi tu mwanamme akiwa anaongea na mama mkwe unapiga magoti. Kupiga magoti ama kuinama ni alama ya heshima, kama mwanajeshi kupiga salute. Watu itafikia hata askari akipiga salute basi anasujudu. Kuinama ama magoti ni ishara ya heshima siyo kusujudu hii ni toka enzi za mababu.
Waswahili walisema, mpenda chongo, huita kengeza.

Magufuli ana tabia za ku overreach na kupenda sifa, kupenda kuingilia mihimili mingine. Ndiyo maana watu wanaona hapa kuna "cult of personality" linajengwa.

Siyo suala la jambo moja, ni mlolongo wa mambo.
 
Ni sawa hiyo ya kuingilia ni madhaifu yake kama anaingilia. Ila hapa nilikuwa najaribu kusema kwamba , personal opionions are just opinions. Na siyo ukweli kwamba ndivyo ilivyo, hasa kwa muono wa mwandishi wa thread hii.

Kuna msemo wa kijita unasema: Your opinion is your opinion. Your perception is your perception . Don't confuse them with facts or truths.
 
Unatenganishaje kujua hii ni fact na hii ni opinion?

Na haiwezekani kwamba, unachoona wewe kuwa ni opinion, kikawa fact, ila wewe unaona opinion kwa sababu huna facts zote tu?
 
Opinion ni mtazamo wako/wangu.
facts ni ukweli mfano aulizwe Magu kama yeye anasujudiwa akisema mnisujudu ndo facts. Ama akisema yeye ndiye mungu ndo facts. nje ya hapo ni opioons of the person in question.

A fact is a statement that can be proven true or false. An opinion is an expression of a person’s feelings that cannot be proven. Opinions can be based on emotions and sometimes they are meant to deliberately mislead others. Therefore, it is important to be
aware of the author’s purpose and choice of language.
 
Hujajibu swali hili.

Kulingana na maelezo pale juu nilifikiri nimejibu swali. Ngoja nijibu kisahihi zaidi kwa kuanza na maelezo, facts siyo kufikiria ama kutumia akili, ama kutumia hisia ama uzoefu. Bali fact ni ukweli ama siukweli kwa kitu kilichowekwa mezani. Fact haina assumption ama logics ama greater thinkers.
Mbuzi huyu ana rangi gani ni mweusi ndiyo ama siyo hiyo ndo fact. Magufuli ni waziri siyo ni rais. Magufuli ni rais ndiyo hizo ndo facts unaweza kuzi prove.

Magufuli ana abudiwa, ooh unajua talalila alisema hivi ana behave vile hizo siyo fact ni hisia. Kama siyo, hisia basi zi prove .
Ila kama yeye alisema wamwabudu na kusujudiwa , prove hiyo ndo fact. Siyo u prove kwa theory za melikebu, na consipiracy theory na hearsay. Conspiracy theories, hisia , na kufikiri hizo ni opinions.

Kwa vile bado hawaja prove kwamba aliwaambia wamwabudu, hizo bado ni opionions. Fact haihitaji mtu kufikiri ninavyofikiri mimi ama unavyofikiri wewe, ukishaweka kufikiri hizo tayari zina qualify kuwa ni opionions.

Kwahiyo kwa vile umetumia neno kufikiri, basi hayo yote ni opinions na siyo facts.
 
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.

Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.

Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!

Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Huku ni kumkufuru Allah na kumtakia mabaya anekubali sifa za Allah.
 
Ukitaka huyu wa Awamu ya sita AKUZINGUWE muite mtukufu!!

Ndio watajua je wana fanana ni kitu kimoja kweli?
 
Kulingana na maelezo pale juu nilifikiri nimejibu swali. Ngoja nijibu kisahihi zaidi kwa kuanza na maelezo, facts siyo kufikiria ama kutumia akili, ama kutumia hisia ama uzoefu. Bali fact ni ukweli ama siukweli kwa kitu kilichowekwa mezani. Fact haina assumption ama logics ama greater thinkers.
Mbuzi huyu ana rangi gani ni mweusi ndiyo ama siyo hiyo ndo fact. Magufuli ni waziri siyo ni rais. Magufuli ni rais ndiyo hizo ndo facts unaweza kuzi prove.

Magufuli ana abudiwa, ooh unajua talalila alisema hivi ana behave vile hizo siyo fact ni hisia. Kama siyo, hisia basi zi prove .
Ila kama yeye alisema wamwabudu na kusujudiwa , prove hiyo ndo fact. Siyo u prove kwa theory za melikebu, na consipiracy theory na hearsay. Conspiracy theories, hisia , na kufikiri hizo ni opinions.

Kwa vile bado hawaja prove kwamba aliwaambia wamwabudu, hizo bado ni opionions. Fact haihitaji mtu kufikiri ninavyofikiri mimi ama unavyofikiri wewe, ukishaweka kufikiri hizo tayari zina qualify kuwa ni opionions.

Kwahiyo kwa vile umetumia neno kufikiri, basi hayo yote ni opinions na siyo facts.
You nailed it based on legal perspective
Fact gathered won't be relied on until it was analyzed and details sychronized to deduce the TRUTH with substantial evidence that proves or disproves something.
 
Opinion ni mtazamo wako/wangu.
facts ni ukweli mfano aulizwe Magu kama yeye anasujudiwa akisema mnisujudu ndo facts. Ama akisema yeye ndiye mungu ndo facts. nje ya hapo ni opioons of the person in question.

A fact is a statement that can be proven true or false. An opinion is an expression of a person’s feelings that cannot be proven. Opinions can be based on emotions and sometimes they are meant to deliberately mislead others. Therefore, it is important to be
aware of the author’s purpose and choice of language.
You answered the guy very intelligently and to addup to shape the clarification on FACTS and OPINION hereunder entails the status quo

Facts

What are facts? Facts are statements that are true and can be verified objectively or proven with a holding letter of reality. In other words, a fact is true, opposite of false and correct no matter whatever the matter in question is perceived or handled.

Examples of facts:

- The sun is a star.

- Your heart pumps blood through your body unless you are dead

- Most people use their legs to walk

- Humans are mammals.

- Living things need air, food, and water to survive.

To Identify a factual statement, you need to ask yourself the following questions

i. Can the statement be proven or demonstrated to be true?

ii. Can the statement be observed in practice or operation?

iii. Can you see or feel it happen?

iv. Can the statement be verified by witnesses, manuscripts, documents, or laboratory test?

Opinions

Opinions are statements that reflect the views or ideas that people have about subject matters and topics. This is their opinion, because not everyone may think the same way, nor can it be proven to be true. Opinions may not be rooted in fact or be supported by strong evidence, though there are exceptions, such as in the case of expert opinions.

Examples of opinions
  • To solve traffic, it is better to invest in subways and trains than in road widening programs.
  • The movie was boring/interesting
  • The internet is being used by teenagers to waste their time in social media.
  • I believe that the greatest president ever reigned in the Tanzania was Jakaya Kikwete
  • All ice cream is tasty, or the cake tastes delicious
  • A casualty died of profusely bleeding
There are three types of opinion statements

i. Positions on controversial issues
ii. Predictions about things in the future
iii. Evaluations of people, places, conditions, and things

Differentiating Fact and Opinion

Fact: Firstly, ask yourself, “Can it be proven”? There must be substantial evidence obtained from credible and reliable sources of information compatible to be tested. The facts are unbiased, objective, and indisputable truth.

Opinions: the author’s writing might be biased and written in a way to try to persuade the intended audience to believe in what he or she is saying through emotional, sentiment and personal favorite presentation manner. The opinions are biased and subjective

*Both the fact and opinion teach the people to be evidence based and thrive to be analytical skills practitioner to isolate between truth (with objective evidence) and false (centered on personal emotions and sentiment with special intention to solicit convincing trust without being sure of the outcome).
Relevance of Fact/Opinion Consideration from Expert Opinion

i. An expert witness can be anyone with knowledge or experience of a particular field or discipline beyond that to be expected of a layman

ii. The expert witness’s duty is to give to the Court or tribunal an impartial opinion on particular aspects of matters within his expertise which are in dispute

iii. The data given by the expert are relevant and admissible

iv. In case any fact is in contradiction to the opinion of the expert, that fact becomes relevant

v. However, an expert witness will not be your advocate and argue your case, nor will they find evidence or suggest what your case should consist of. It is for you or your legal representatives to advocate your case only and not otherwise.
 
Katika kutafsiri maamkizi ya kiitifaki, neno mtukufu linatokana na neno His/ Your excellency.

Tofautisha kati ya: Your / His holiness na Your/His excellence.

Your excellence ni tofauti na your holiness, your holiness ndiyo mtukufu na hili hutumika kwa viongozi wa dini au watu wakubwa wa dini.
 
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu.

Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini.

Nilijua Rais atakapoamka kutoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa Stendi ya mabasi huko Mbezi Louis basi angekemea kuitwa MTUKUFU Rais lakini akapiga kimya!

Nijuavyo mimi hata kama si mjuzi sana wa mambo ya dini lakini mwenye cheo cha utukufu ni Mungu pekee si binadamu mwenye nyama, damu na mifupa. Hii tabia ya kujipendekeza hadi kumwabudu binadamu mwenzio ni kumkufuru Allah.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Huo ndio uzandiki wa mwendazake, anahubiri kumtegemea Mungu ila yeye ulinzi wake si Mungu bali bunduki za rashasha, bastola, helikopta, nyonganyonga vifua vipana na magari bullet proof!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom