Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

Assuming angeweza kuamua sherehe za Muungano zisiwepo mwaka huu halafu fedha iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya shughuli hiyo itumike kwa mahitaji mengine? Huoni kwamba kwa upande mwingine kuna fedha ambayo ame-divert matumizi yake kwa ajili ya kitu kingine ambacho nacho ni muhimu pia kama ulivyo muungano? Sherehe za Muungano zitakuwepo miaka yote milele, lakini tunayo mahitaji mengine ambayo yasipopatikana leo yana uwezo wa kugharimu hadi uhai wa watu.

Kwa upande mwingine tunaweza kusema kuwa Rais amesevu hela ambayo itajenga hata vituo vya afya, kote Bara na Visiwani
 
Jirani......angeokelewa bara jirani..
[emoji23]
Jirani mimi namsapoti maana kazi anayoifanya huko pia ni njema kwa taifa letu maana hapa kati utalii uliyumba sana kutokana na Corona.
Ila Muungano pia ni muhimu maana ndio uliomuwezesha leo kuwa Rais Leo.

....
Vipi mzima jirani!?
Za siku nyingi?
 
Kwani bado yupo kwenye ROYO TUA?
 
Mimi mzima jirani...nashukuru Mungu.
 
Kaiacha nchi bila ya uangalizi wake ?!!! 😳😳🤣

Mkuu...urais ni taasisi mkuu wangu....

Changamoto zetu watanzania ni za kila uchao...hakuzimaliza JPM wala hatozimaliza SSH wala yeyote baada yao isipokuwa kila mmoja anatimiza wajibu wake ndani ya utawala wake.....

Peace👍
 
Hii maana yake ni kwamba Muungano haupo , Tanganyika tu ndio haipo
 
Jiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.

Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.


What if iwapo imetokea kama coincidence tu ?

Mnataka kutishia watu wasiwe flexible katika kufanya maamuzi mbalimbali ?
 
Hivi mwenge unafaida gani mimi hadi sasa ni mtu mzima sijuwi kwakweli.Yani hadi nitazeeka sitajuwa!!.



Namshangaa!

Sana sana huongeza maambukizi kupitia ngono zinazofanyika kwenye mikesha ya mbio za mwenge ,

Kitu ambacho ni kibaya sana Kwa muktadha wa usalama wa watu kwenye afya zao!
 
Kwani maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano yanamtaka Rais awapo kwa mujibu?

Tusikariri,

Walokuwepo wametosha,

Rais anaendelea kutimiza majukumu mengine Kwa manufaa ya waTZ .
 
Jiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.

Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.
Wewe jibu hoja iliyoletwa. Marehemu anahusikaje hapa. Naoma mnamuwaza mnamuota. Hebu endeleeni na mashia yebnu wewe elezea Rais mzima hayupo shughuli za Muungano wakati benefit za muungano anapeleka kwao wake up. Unless wewe nu=i wa uoande wapili nitakuelewa.
 
Jiwe alipofuta mwenge wa uhuru, mwaka uliofuata aliondoshwa madarakani kwa njia ya kifo.

Niko nje ya mada, asanteni kwa kunisikiliza.
MKUU

Mwenge wa Uhuru na muungano ni tunu za Taifa!!kuzipuuza ni kupuuza madaraka sio!!

KWA hiyo unamaanisha sherehe za Mwakani hatosherekea akiwa kama namba Moja!!?

NASUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…