Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Assuming angeweza kuamua sherehe za Muungano zisiwepo mwaka huu halafu fedha iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya shughuli hiyo itumike kwa mahitaji mengine? Huoni kwamba kwa upande mwingine kuna fedha ambayo ame-divert matumizi yake kwa ajili ya kitu kingine ambacho nacho ni muhimu pia kama ulivyo muungano? Sherehe za Muungano zitakuwepo miaka yote milele, lakini tunayo mahitaji mengine ambayo yasipopatikana leo yana uwezo wa kugharimu hadi uhai wa watu.Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje ya nchi katika nchi moja kwa muda wote alioamua kukaa huko Marekani.
Anyway Mali ya kurithi haina uchungu.
Kwa upande mwingine tunaweza kusema kuwa Rais amesevu hela ambayo itajenga hata vituo vya afya, kote Bara na Visiwani