Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

Hao marais wa Kenyata wamemsaidia nini kama deni lake ni 67% ya pato la taifa?

Si bora huyu wa jirani naweza hata kubeba kiroba cha mahindi kichwani nikaenda kuuza huko?

Bavicha nyie endeleeni tu na faragha zenu ndio mnachokiweza.
 
Hivi huyo rais wa Malawi anajua kiswahili au ndio itabidi wakina paschal mayala wamepata kibarua cha ukalimani kwa mzee wa font fed
 
Mkuu,huyu jamaa
Bujibuji hivi kichwani umejaza kande badala ya ubongo? Utakuwa lijinga sana kama unaamini rais wetu kavunja katiba, shukuru Mungu ya Congo hapa hayapo
Fala Sana,siku moja mm nilihoji comments zake, you watu hawakumielewa, yaani huyu mtu hana akili hata kidogo.hana comments za kujenga Wala nn.
 

Hivyo unavyosema vyoote tulisha jaribu tukaona havina msaada. Kuna siku maraisi woote wa marekani wastaafu na aliyekuwa madarakani walilala bongo.
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
Hilo kwetu siyo habari mpya tena. Tunawaangalia tu mnavyozunguka kama vasco da gama.
 
Sky Eclat mmeona Kwanini JPM amekatisha kampeni. Huyu ni Rais hizo nazo kazi zake. Mfahamishe na Mbowe na Kichaa wenu Tundu Lissu
Li JPM LInatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!
 
Watz bana, sasa marais kama Macron wa Ufaransa, Erdogan wa Uturuki, PM Teresa May wa UK, na Netanyahu wa Israel walivozuru Kenya ndio unawaita Vasco Da Gama, au ndio unamaanishaje? [emoji1] Alafu Mnyasa Lazaro akija Tz kwenye kikao cha maskini wawili ndio inakuwa sifa? [emoji1] Gerrara hia! Ushamba utawaua, kesho wasubirini marais Salva Kiir wa S.Sudan na Farmaajo wa Somalia, hao ndio saizi ya Magufuri. [emoji38]
 

Siyo ugomvi bro, nasemajeee, hayo mambo ya kutembea kwa sisi watanzania siyo habari mpya. Sisi tuliwahi katisha mitaa ya hapa duniani mpaka balaa yaani. πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Unatembelewa na Macron halafu pipeline ya Uganda inaenda Tanzania nyie ni mafalamanga wa mwisho aisee! baada ya Mchina kucheza abracadabra SGR Mombasa-naivasha, Macron hakutaka kuachwa nyuma, akaja Nairobi kutafuta falamanga wa kufanya PPP na French company akarudi na deal la highway la $1.7 bln Paris.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…