Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #121
Stori za kwenye vigango hizo hao wafilisti wako wapi sasa kama hapo ni kwao maana wayahudi wapo hao wafilisti wako wapi?Hata zingekuwa na miaka milioni. Shida iko wapi?. Kwa akili yako ushajazwa ujinga na mwarabu kuwa hakuna myahudi duniani. Cha ajabu unakubali kuwa uajemi na waamedi ni Iraq na Iran Ya Sasa. Na wafilisti ndiyo wenye Palestina siyo mwarabu na mwarabu pale siyo kwake pia.
Rais Macron knows his limits against Israel.Nani kasema macron anapambana na Israel? Israel ana survive kwa support ya nchi za ulaya na Marekani kwa silaha na fedha. Macron amemweleza tu ukweli kuwa asijisahau nchi yake imetoka wapi. Na siyo kosa mtu kuambiwa ukweli naona mnajitahidi kukwepa point ya bwana macron.
Wewe ndio Personal Secretary wa Macron?Rais Macron knows his limits against Israel.
Ahahahahaha!Wewe ndio Personal Secretary wa Macron?
Kwani chuki za waislam dhidi ya Imani nyingine huwa zinatokana na Nini?Hivi hizo chuki zenu dhidi ya waisilam huwa zinatokana na nn hasa?
Hamas tuh inawashinda ndio France wapambane nayo?Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.
Itakua too late na wameshashika sehem nyeti sana, but the problem will be Islam hawawezi kubreak hapoUkitafakari hisia iliyojificha, huu kauli ya MACRON ni kauli ya kujuta kuanzishwa kwa TAIFA la ISRAEL...
Wanaona hatari ya hii jamii, kama ambavyo HITLER aliona miaka ya karne iliyopita.
Kama kuna la balaa la kibinadamu litakuja kuikuta hii dunia basi architecture wa hilo ni JEWS
Nashangaa unajua Siri za ndani za Macron 😂Ahahahahaha!
It is true that the Biblical Israel Nation was formed under Yahweh decree. But for the current Israel Nation, Macron is right, because this Israel is inhabited by the Fake Jews who are of the synagogue of Satan as prophesized in the Holly Bible in Rev 2:9 & 3:9French President Macron:
“Prime Minister Netanyahu must remember that Israel was established through a United Nations resolution”
And I say to this French macaroon:
Israel was established by God’s decree!
“Before she was in labor, she gave birth;
Before her pain came,
She delivered a male child.
Who has heard such a thing?
Who has seen such things?
Shall the earth be made to give birth in one day?
Or shall a nation be born at once?
For as soon as Zion was in labor,
She gave birth to her children.
Shall I bring to the time of birth, and not cause delivery?” says the Lord.
“Shall I who cause delivery shut up the womb?” says your God.
“Rejoice with Jerusalem,
And be glad with her, all you who love her;
Rejoice for joy with her, all you who mourn for her;
(Isaiah 66:7-10)
Ndiyo useme wewe Sasa unaoamini hao siyo wayahudi. Bali waliletwa tu na wazungu. Ndiyo nikakwambia Kama ni hivyo kihistoria palestina wenyewe ni wafilisti. Ni Kama waajemi na waamedi ambayo ni Iraq na Iran. Sasa wewe unakuja na stori za 1947. Punguza store za kwenye alkasusu na vijiwe vya kahawa. Shida mkiambiwa ukweli mnaleta udini. Vigango vimeingiaje kobasi wewe. Acha UNAFIKIStori za kwenye vigango hizo hao wafilisti wako wapi sasa kama hapo ni kwao maana wayahudi wapo hao wafilisti wako wapi?
Acha kukwepa hoja yangu bwanamdogo na blaa blaa nyingi zisizo na kichwa Wala miguu. Swali langu ni Moja umesema hakuna wapalestina Bali wenye hilo eneo ni wafilisti. Na unakubali kuwa hapo ni eneo la wayahudi sasa swali langu ni kuwa kama wayahudi wapo ambao wewe unaamini ndio eneo lao Je wafilisti wako wapi? Ambao nao umesema hapo ndio kwao?Ndiyo useme wewe Sasa unaoamini hao siyo wayahudi. Bali waliletwa tu na wazungu. Ndiyo nikakwambia Kama ni hivyo kihistoria palestina wenyewe ni wafilisti. Ni Kama waajemi na waamedi ambayo ni Iraq na Iran. Sasa wewe unakuja na stori za 1947. Punguza store za kwenye alkasusu na vijiwe vya kahawa. Shida mkiambiwa ukweli mnaleta udini. Vigango vimeingiaje kobasi wewe. Acha UNAFIKI
Nimesema baada ya wewe kuropoka wale siyo wayahudi. Wewe ndiyo unakwepa unaleta mambo ya vigango. Mfilisti ndiyo mpalestina na Myahudi yupo na ana sehemu yake. Mnalazimishaje kuwa pale siyo kwa wayahudi ni wapalestina tu. Kwani Un si walitaka kuwapekeka Uganda wakakataa wakijua asili yao ni wapi.Acha kukwepa hoja yangu bwanamdogo na blaa blaa nyingi zisizo na kichwa Wala miguu. Swali langu ni Moja umesema hakuna wapalestina Bali wenye hilo eneo ni wafilisti. Na unakubali kuwa hapo ni eneo la wayahudi sasa swali langu ni kuwa kama wayahudi wapo ambao wewe unaamini ndio eneo lao Je wafilisti wako wapi? Ambao nao umesema hapo ndio kwao?
Afu kuna vichaa wanakuambia taifa teule 😄Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Nioneshe mahali nimeandika kuwa wale siyo wayahudi. Nioneshe hapa hiyo comment.Nimesema baada ya wewe kuropoka wale siyo wayahudi. Wewe ndiyo unakwepa unaleta mambo ya vigango. Mfilisti ndiyo mpalestina na Myahudi yupo na ana sehemu yake. Mnalazimishaje kuwa pale siyo kwa wayahudi ni wapalestina tu. Kwani Un si walitaka kuwapekeka Uganda wakakataa wakijua asili yao ni wapi.
Wapuuzi wakubwaAfu kuna vichaa wanakuambia taifa teule 😄