Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

mbuzi akipgwa kwa kosa la kula mahind baada ya dak mbili anarudia tena kosa lile lile😆😆😆😆, kuchunga mbuzi ni kazi bwana
 
Daktari amemkimbia aliyemgharamia elimu, hata kama alipewa mkopo 100% na bodi ya mikopo bado serikali inamchango mkubwa kwenye elimu yake
Angeaga kwa uzuri
Kwa hil nakupga mama d😒 nisamehe tu hapa mkuu katyanka kweli🤣🤣
 
Hii ndo Tabia ya wanasama kusahau alikotoka anatumia nafasi yake kutudhalksha na kutokomesha sijui tumemkosea nini
 
Huyo mzee ni kwikwi
 
Serikali siyoweza kuajiri ila inamkomoa aliyejiajiri na Kuwapa Ajiria watanzania wengine ambao serikali kammwe haina uweizo wa kuwaajiri
 
Utaratibu wa kuacha kazi ukoje?
Sijawahi ajiriwa ko sijui. Kitaani ili uache kaz ya utumishi wa umma bila longo longo n inabidi uwe mtovu wa nidhamu, wakikupa warning ya mdomo, unarudia kosa, wanakupa warning ya makaratasi tena unarudia kosa lilie lile, wanakupa suspension ya miez kadhaaa😆 ukirud job tena unarudia kosa lile lileeeee, hapa wanakufukuza kazi kilainiiii na unapewa stahiki zako vzr😆 unafanya mishe zingne. Ko sijui kama utaratibu wa kuacha kaz upoje but kuna muda ukitaka kufwata utaratibu unacheleweshwa sanaaa na hapa ndipo tunatumia kale kakauli ka SHERIA ZIMEWEKWA ILI ZIVUNJWE😆, unaweza ukawa unaandika barua hazijibiwi, sasa what next😅😅😅
 
Gwala [emoji109] tena !!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio Kwanzaa hata Januari haijaisha vyuma vimekaza mpaka vinaanza kukatika kudadeki bado tuna kama miaka mi'4 na miezi kadhaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CCM OYEEEEE!!! Mbona huko nyuma sisikii sauti nasema tena CCM OYEEEEEE!!!

Mh!!! Mbona sisikii sauti jamani CCM OYEEEEEE!!!

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Mmesusa au jamani HAPA KAZI TU hebu itikieni basi ... [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ile sio grant mkuu ni mkopo tena ambao unalipwa by hook or by crook
Basi wawekeane mkataba, wote waliopewa mikopo na serikali wawe wanalazimika kufanya kazi serikalini kwa kipindi fulani kabla kuajiriwa sekta binafsi, yawezekana yuko sawa basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…