Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, pia alishawahi kunukuliwa na vyombo vya habari akiwaambia watumishi wa umma wanaonung'unika kwa kutokuongezewa mshahara toka awamu ya tano ilipooingia madarakani. Na akasema yule asiyeridhika na aache kazi.
Leo kibao kimewageukia tena wale ambao hawakuridhika na kuchukua hatua. Kauli hizi tata na zenye kukinzana na msimamo wa awali uliotolewa na serikali yenyewe zitazidi kutolewa mpaka lini?
Kwa hil nakupga mama d😒 nisamehe tu hapa mkuu katyanka kweli🤣🤣Daktari amemkimbia aliyemgharamia elimu, hata kama alipewa mkopo 100% na bodi ya mikopo bado serikali inamchango mkubwa kwenye elimu yake
Angeaga kwa uzuri
Utaratibu wa kuacha kazi ukoje?Kwa hil nakupga mama d😒 nisamehe tu hapa mkuu katyanka kweli🤣🤣
Hii ndo Tabia ya wanasama kusahau alikotoka anatumia nafasi yake kutudhalksha na kutokomesha sijui tumemkosea niniAnatafuta Daktari aliyekimbia hospitali kufuata masilah na mazingira bora ya kazi
Anayetoa maagizo yeye pia alikimbia ualimu na kwenda kuwa mkemia kwa kufuata masilah Mazuri, licha ya kusomeshwa na Serikali buree bila hata kurejesha shilingi huku hata nauli na Mikate wakipewa buree.
Mtoa maagizo hajaridhika hapo akaacha ukemia akaingia kwenye siasa kula kwa mrija sasa, amesahau alipotoka. HAPO NANI NI MZALENDO?
Huyo mzee ni kwikwiAnatafuta Daktari aliyekimbia hospitali kufuata masilah na mazingira bora ya kazi
Anayetoa maagizo yeye pia alikimbia ualimu na kwenda kuwa mkemia kwa kufuata masilah Mazuri, licha ya kusomeshwa na Serikali buree bila hata kurejesha shilingi huku hata nauli na Mikate wakipewa buree.
Mtoa maagizo hajaridhika hapo akaacha ukemia akaingia kwenye siasa kula kwa mrija sasa, amesahau alipotoka. HAPO NANI NI MZALENDO?
Kwani kuna ubaya gani kwa hiyo kwenda kuajiriwa private? Si kuna gap kutengeneza hapo huyo mzee alizibe? Aache ujinga bwana!Kwanini private isichukue hao?
Serikali siyoweza kuajiri ila inamkomoa aliyejiajiri na Kuwapa Ajiria watanzania wengine ambao serikali kammwe haina uweizo wa kuwaajiriHii nchi tunakoelekea ni kubaya zaidi.
Huyu mwalimu wa science tena kipindi kile walimu wa science shule za vijijini walikuwa wachache sana ila aliamua kuacha wanafunzi na kugombea ubunge. Masilai ya ualimu aliona ni kidogo. Ubunge wenyewe aligombea awamu mbili bila kufanikiwa.
Hayati Benjamini william Mkapa ndyo akampa support baada ya kuitenga chato ndipo Rais JPM alifanikiwa kuwa mbunge.
Leo hii daktari wa serikali kaacha kuwa mtumishi wa serikali na kaenda kufungua hospitali binafsi ambayo imeongeza huduma katika jamii ila Rais Magufuli kwa Roho ya kwanini anataka awaingize matatani.
Nakumbuka Rais mstaaf J. Kikwete aliwahi kuzungumza juu ya katiba inavyompa Rais nguvu kubwa na hivyo inahitaji busara sana kuendesha nchi kama Tanzania.
Kusema ukweli hii busara magufuli hana kabisa. Na waliopo karibu naye wanashindwa kmweleza ukweli ilimradi vibarua vyao visiote nyasi au wanasubiri aboronge ili akiondoka wamsengenye.
Busara inategemea kama hilo dubwasha lina busara!Tukifunga hospital yake maana yake Serikali itakosa kodi, Watumishi wangapi watakosa kazi, kodi kiasi gani ya PAYE itapotea? Kodi ya jengo je? Huduma kwa watu waliokua wanahudumiwa? Hakika tutaishi kama mashetani. Ila busara ni vyema ikatumika
Sijawahi ajiriwa ko sijui. Kitaani ili uache kaz ya utumishi wa umma bila longo longo n inabidi uwe mtovu wa nidhamu, wakikupa warning ya mdomo, unarudia kosa, wanakupa warning ya makaratasi tena unarudia kosa lilie lile, wanakupa suspension ya miez kadhaaa😆 ukirud job tena unarudia kosa lile lileeeee, hapa wanakufukuza kazi kilainiiii na unapewa stahiki zako vzr😆 unafanya mishe zingne. Ko sijui kama utaratibu wa kuacha kaz upoje but kuna muda ukitaka kufwata utaratibu unacheleweshwa sanaaa na hapa ndipo tunatumia kale kakauli ka SHERIA ZIMEWEKWA ILI ZIVUNJWE😆, unaweza ukawa unaandika barua hazijibiwi, sasa what next😅😅😅Utaratibu wa kuacha kazi ukoje?
Gwala [emoji109] tena !!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatafuta Daktari aliyekimbia hospitali kufuata masilah na mazingira bora ya kazi
Anayetoa maagizo yeye pia alikimbia ualimu na kwenda kuwa mkemia kwa kufuata masilah Mazuri, licha ya kusomeshwa na Serikali buree bila hata kurejesha shilingi huku hata nauli na Mikate wakipewa buree.
Mtoa maagizo hajaridhika hapo akaacha ukemia akaingia kwenye siasa kula kwa mrija sasa, amesahau alipotoka. HAPO NANI NI MZALENDO?
hakika elimu hazijatisaidia. phd unakuwaje hivi
Basi wawekeane mkataba, wote waliopewa mikopo na serikali wawe wanalazimika kufanya kazi serikalini kwa kipindi fulani kabla kuajiriwa sekta binafsi, yawezekana yuko sawa basi..Ile sio grant mkuu ni mkopo tena ambao unalipwa by hook or by crook
Ulioyafanya na nani? Si uliogopa virungu vya maandamano.Mungu huyu tumuombe msamaha kwa makosa tuliofanya