Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Kuna costs incurred when you hire inexperienced Drs, achilia mbali financial costs but medical too they produce high mistakes which leads to loss of lives or deterioration of medical conditions; sio Tanzania tu kote duniani.
No one in the world will trade experience for nonexperience in medical practice.
Wanachi watanzania wenye kipato cha kawaida wanahaki ya kupewa huduma iliyo bora na watu wenye experience.
Shut up ! K*MA wewe , hamna wateja hapa ,unaropoka ropoka kama kahaba wa uwanja WA fisi kaona MB*LO , filthy whore
Hakuna whore bingwa kama yule aliyevumilia ukakasi wako hadi akakukuleta duniani🤣🤣🤣FALA MMOJA WEWE , kuna umuhimu WA Jamii forum kupima Iq ya majitu humu , stupid whore wewe
Hio iko normal kama taasisi husika imekulipia vitu ambavyo hawakudai mfanoUmeshawahi kusikia kitu kinaitwa ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wa ajira?
Sijui kama madokta Tanzania wana hiyo clause kwenye mkataba wao wa ajira but that is normal practice kwenye taasisi nyingi duniani hata huko ulaya depending umeajiriwa katika nafasi gani.
Kuna sehemu ukitaka kuacha kazi inabidi uwalipe fidia kubwa au mkataba uliokuwa nao una kuzuia kufanya kazi kwenye hiyo field bila ya ridhaa ya mwajiri.
Hakuna cha ajabu alichoongea Magufuli, that is normal.
Boresha basi maslahi uone kama watahamia kusiko na maslahi.Hii ni thinking ya ajabu sana! Yaani kwa sababu mmempa mkopo 100% ndio haruhusiwi kutafuta kazi yenye maslahi zaidi? Kwani huo mkopo si analipa? Au mikopo wanalipa waliojiriwa serikalini tu?
Utapakatwa kilaza wewe , fambaHivi unaitukanaje sehemu iliyokuleta duniani lakini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Hivi mama yako anajua kama uko hapa kumtukania nyeti yake? Kwa akili zako zote unaona umenikomeshaaa kumbe unajilaani tuuu
Kweli kuzaa sio kupata[emoji849][emoji849][emoji849]
Vyama vya wafanya kazi bure kabisa vinakula hela zetu kila mweziSorry to say this but rais hapa umeteleza!!
Unaposema unawasomesha hawachangii kwani hiyo mikopo si inatokana na kodi? je hizo hospitali za private hazilipi kodi?
Unaposema hela yenu wamekula wamekula kivipi? kwani hawalipi mkopo kila mwezi?
Alafu mzee baba hujui mtumishi yeyote anatafuta maslahi? sasa wewe huongezi mishahara unataka waendelee tu kukaa hapo kisa uzalendo?
Mzee huu ni mwaka 2021 na sio mwaka 1970! unapoongea jua unaongea na watu wenye akili zao kichwani!!
Huwezi ukawa mzalendo kama una njaa! HATA WEWE ULIKIMBIA CHAKI UKAENDA KWENYE SIASA!!
Malaya mnuka uchi mmoja weweHakuna whore bingwa kama yule aliyevumilia ukakasi wako hadi akakukuleta duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole kwake
Tupe tafsiiri ya uzalendo kabla ya kwenda,mbali au ni kuimba mapambio.Jamani tuwe wazalendo .
Weee Jamaa. Wafanye nini sasa hapaVyama vya wafanya kazi bure kabisa vinakula hela zetu kila mwezi
I wish nijue story yake itaishiajechuo nilichosomeshwa kwa ela za serikali kilinifundisha kuwa kwa haki za kibinadamuu ni ruksa mtu kufanya Kazi yoyote popote ilimradi iwe halali kwa sheria za nchi husika
Even expirienced/specialist Drs deserve a better life, but this gvt has failed to appreciate their potentials, so let them run somewhere to afford a better lifeNikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.
The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.
Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?
Nanukia mimi buana, ukitaka vya kunuka home ukamnuse 🤣🤣🤣🤣Malaya mnuka uchi mmoja wewe
Kuna kosa gani kujitafutia maisha bora zaidi ya sehemu uliyopo?.Kiseria, Kidogo napata shida maana ule ni mkopo, labda kama lipo sharti la kuitumikia serikali.
Kwa upande mwingine namwelewa..serikali yako itafute pesa tena 100% na akimaliza ukimhitaji anakupotezea. Inauma kama kiongozi. Ndo maana amezungumzia uzalendo.
Usishangae masharti ya mkopo yakabadilika kwa tukio hili.