Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Dah! Hii Kali. Nafikiri Tuendelee kujenga nchi yetu. Wagonjwa wengi hutibiwa private sikuvhz kutokana na urahisi. Sasa hawa madktari kule hufanya Kazi sana kushinda huko serikalini ambako muda wote hufanya issue za Utawala na vikao badala ya kutibu wagonjwa.
 
Kuna costs incurred when you hire inexperienced Drs, achilia mbali financial costs but medical too they produce high mistakes which leads to loss of lives or deterioration of medical conditions; sio Tanzania tu kote duniani.


No one in the world will trade experience for nonexperience in medical practice.

Wanachi watanzania wenye kipato cha kawaida wanahaki ya kupewa huduma iliyo bora na watu wenye experience.


Medical profession sio kama kushona nguo ndugu, in the early start of their career / once wamegraduate madaktari hawaruhusiwi kupoteza maisha ya watu, kwa kisingizio cha upya,ndio maana katika course zao kuna practical element hii yote ni kwa ajili ya kuwa equip wewe tayari kutibu watu.

Pia kama hujui; hawa madoctor wapya wamekuwa exposed wamesoma na vitu ambavyo viko current, so wanaelewa new challenges kwenye field, kwa sababu hii field ya medicine iko kama IT Inabadilika kila leo, new diseases, new ways to treat them etc

Elsewhere they value experienced doctors, but they don’t undermine new doctors. Infact for older doctors , they need to show their competence by re-evaluatio process to keep their licence. This means going through some extra training which also can be costly,

I still maintain Magufuli should take these new doctors, insteady of playing .. ‘ I am the boss do what I say’ vitu vingine hutumii nguvu ni busara tu itumike, akae chini aongee nao ajue wanakwama wapi
 
Shut up ! K*MA wewe , hamna wateja hapa ,unaropoka ropoka kama kahaba wa uwanja WA fisi kaona MB*LO , filthy whore

Hivi unaitukanaje sehemu iliyokuleta duniani lakini🤔🤔🤔🤔🤔 Hivi mama yako anajua kama uko hapa kumtukania nyeti yake? Kwa akili zako zote unaona umenikomeshaaa kumbe unajilaani tuuu

Kweli kuzaa sio kupata🙄🙄🙄
 
FALA MMOJA WEWE , kuna umuhimu WA Jamii forum kupima Iq ya majitu humu , stupid whore wewe
Hakuna whore bingwa kama yule aliyevumilia ukakasi wako hadi akakukuleta duniani🤣🤣🤣
Pole kwake
 
Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wa ajira?

Sijui kama madokta Tanzania wana hiyo clause kwenye mkataba wao wa ajira but that is normal practice kwenye taasisi nyingi duniani hata huko ulaya depending umeajiriwa katika nafasi gani.

Kuna sehemu ukitaka kuacha kazi inabidi uwalipe fidia kubwa au mkataba uliokuwa nao una kuzuia kufanya kazi kwenye hiyo field bila ya ridhaa ya mwajiri.

Hakuna cha ajabu alichoongea Magufuli, that is normal.
Hio iko normal kama taasisi husika imekulipia vitu ambavyo hawakudai mfano
Wamekusomesha level fulani ama una benefits flani za kukutuliza hapo kwao

Case ya huyu Dr ni tofauti bodi ya mikopo inamkata kwenye mshahara mkopo wa chuo..ni deni sio free ile..na retention juuu

mitano tena!!
 
Hivi unaitukanaje sehemu iliyokuleta duniani lakini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Hivi mama yako anajua kama uko hapa kumtukania nyeti yake? Kwa akili zako zote unaona umenikomeshaaa kumbe unajilaani tuuu

Kweli kuzaa sio kupata[emoji849][emoji849][emoji849]
Utapakatwa kilaza wewe , famba
 
Sorry to say this but rais hapa umeteleza!!

Unaposema unawasomesha hawachangii kwani hiyo mikopo si inatokana na kodi? je hizo hospitali za private hazilipi kodi?

Unaposema hela yenu wamekula wamekula kivipi? kwani hawalipi mkopo kila mwezi?

Alafu mzee baba hujui mtumishi yeyote anatafuta maslahi? sasa wewe huongezi mishahara unataka waendelee tu kukaa hapo kisa uzalendo?

Mzee huu ni mwaka 2021 na sio mwaka 1970! unapoongea jua unaongea na watu wenye akili zao kichwani!!

Huwezi ukawa mzalendo kama una njaa! HATA WEWE ULIKIMBIA CHAKI UKAENDA KWENYE SIASA!!
Vyama vya wafanya kazi bure kabisa vinakula hela zetu kila mwezi
 
chuo nilichosomeshwa kwa ela za serikali kilinifundisha kuwa kwa haki za kibinadamuu ni ruksa mtu kufanya Kazi yoyote popote ilimradi iwe halali kwa sheria za nchi husika
I wish nijue story yake itaishiaje
Mana sijui watamshtaki kwa lipi.,

watu wakikataa kuhama wanaambiwa waache kazi huyu kaacha mwenyewe anatafutwa

Wariiiiiiiz this?
 
Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.

The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.

Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?
Even expirienced/specialist Drs deserve a better life, but this gvt has failed to appreciate their potentials, so let them run somewhere to afford a better life
 
Kiseria, Kidogo napata shida maana ule ni mkopo, labda kama lipo sharti la kuitumikia serikali.

Kwa upande mwingine namwelewa..serikali yako itafute pesa tena 100% na akimaliza ukimhitaji anakupotezea. Inauma kama kiongozi. Ndo maana amezungumzia uzalendo.

Usishangae masharti ya mkopo yakabadilika kwa tukio hili.
Kuna kosa gani kujitafutia maisha bora zaidi ya sehemu uliyopo?.

kusoma si wamesomeshwa wengi?

labda kama ana taarifa ambazo hakuweka wazi
 
Back
Top Bottom