Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Mitaani madaktari wapo kibao,hawana ajira,unamng'ang'ania huyo,baada ya awamu hii kupita,atapondwa sana huyu mzee na wanaomsaidia sasa.
Asitake watuhudumie kwa hasira,wakiwawanatuhudumia hao wenye nongwa,yeye anahudumiwa na jopo maalumu lenye uhakika wa maslahi.Alione na hilo pia.
 
Kwa maana hiyo angemuona huyo daktari ameacha kazi akaenda kulima kwa jembe la mkono yeye Magu angejisikia raha sana sio? Shida imekuja sababu ameenda sekta binafsi kwenye maslahi angalau yeye amejisikia vibaya? Jamaa ni SADIST.

Pengine ambavyo huwa anasema tumuombee huwa anamaanisha ana tatizo fulani aombewe, Ma sadist wenzake wapo kwenye comment wanamsifia. wamejaa chuki na roho za kimasikini mno kama Pohamba na mwenzake Kilatha
 
Wanaofanya kazi private wanatibu warundi au watanzania?

si na wao walisomeshwa na mikopo ya heslb?

ama uzalendo ni nini?

kujitafutia maisha bora ni kosa?.
 
Biashara... private hawawezi kuajiri mtu ambaye hawezi kulipa kibiashara!!
 
Swali fikilishi.

Je bodi ya mikopo haiwezi kukata makato ya mkopo wa huyo dactar akiwa kwenye hospitali binafsi?
 
Mkuu,

Nashangaa kwamba huamini nilisomeshwa na UN. Mbona ni jambo la kawaida sana? Hakuna cha 'kujinasibu' hapo. Hata kama wewe hukupata fursa ya kusoma elimu ya juu, utakuwa unamfahamu mtu aliyefanya hivyo. Wengi wa hawa walisomeshwa na mashirika ya nje. Masharti ya kupewa scholarship na shirika lo lote ni pamoja na kutia sahihi mkataba kwamba baada ya kuhitimu utarudi nchini kwako kufanya kazi utakayopangiwa na serikali. Muulize huyo unayemfahamu kuhusu hili.

Katika watu tuliokuwa pamoja ama sekondari au UDSM, halafu tukaenda kusoma ng'ambo nchi mbalimbali, nawafahamu watatu tuliosomeshwa na UN; wawili waliosomeshwa na serikali; watano waliosomeshwa na SIDA; mmoja na CIDA; mmoja na Rockefeller Foundation; wawili na FINIDA; na wengine wawili na USAID. Wote hao tulitia sahihi ya kuitumikia serikali kwa miaka kadhaa baada ya kufudhu masomo. Huko nilikokuwa, kulikuwepo pia watu kutoka nchi nyingine ambao nao walisimulia hayo hayo ya kutia sahihi mkataba wa kuitumikia serikali baada ya masomo. Hakuna cha ajabu kwa Rais wetu kufuatilia hilo. Narudia, hata kama wewe hukupata fursa ya kusoma kiwango hicho, bila shaka unamfahamu hata mtu mmoja aliyefanya hivyo. Muulize huyo kuhusu sharti hili.

Unauliza kama kweli nilisomeshwa na UN, kwa nini sikuenda kufanya kazi nje ya nchi? Jibu ni kwamba nilibanwa na mkataba niliotia sahihi. Kwa hiyo nilifanya kazi serikalini kwa miaka minane na baadaye nikaenda kufanya kazi nchi mbili tofauti za nje. Labda hilo nalo huliamini na unadhani 'najinasibu' tu. Hiyo juu yako tena.

Kuhusu ukabila, hilo naliacha lilivyo kwa kuwa katika mada yangu sikuzungumzia cho chote kinachoashiria ukabila. Ni ufinyu wa fikra zako tu ndiyo unakufanya ulete mambo ya ukabila. Kwa taarifa tu, mimi wala siyo Msukuma.
 
Muachage kuandika ujinga wakati ukweli upo wazi kuepuka kutukanwa hovyo kwani ukikaa kimyaa hata kama huyo magufuli unaempenda kaongea ujinga utapungukiwa nini?
 
******** ni mshenzi mmoja taahira asiye na akili , hayawani .
Jitu Lina sura mbaya na roho mbaya shetani akasome , Ibilisi mwenye mwili WA binadamu .
Yaani hili li pimbi ipo siku litasimamisha hata mishahara kabisa
Mikataba ya vyama vya siasa na mikataba ya utumishi wa umma na maadili havijawahi fananishwa
We unasema kwa sababu hauko kwenye kundi hilo
We unashindwa kuboresha hali za madkari,walimu unafikiri wakipata connection nzr sehemu nyingine watakaa kwake lazima wataondoka...kwanza tambua hzo taratibu tu unasema zifatwe znazengwe kweli..
Nenda botswana huko wamejaa watanzania ni madokta wako walimu pia wote walikula kona
Na maisha yao mwake tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Vyama vya wafanya kazi bure kabisa vinakula hela zetu kila mwezi
Mtanzania anayeamini katika mifumo ya kiutendaji Hadi leo hii yawezekana yuko usingizoni,habari,sheria,na mamlaka za kisiasa kwa yale anayoambiwa kwa mgongo wa uzalendo tafakari mara tatu kabla ya kuamini.
 
Ni sawa tu, wapo wengi wana private hospitals au hata kufanya kazi part time huko ila hawaachi kazi za serikali, na wapo happy.. huyu lazima kuna zaidi ya hayo ameyafanya.
Kwani mtu akienda private halipi mkopo kila mwezi? Magu nani kamloga siku hizi?
 
Muachage kuandika ujinga wakati ukweli upo wazi kuepuka kutukanwa hovyo kwani ukikaa kimyaa hata kama huyo magufuli unaempenda kaongea ujinga utapungukiwa nini?
Mbona wewe umeandika ujinga tuu. Kaa kimya basi🤣
 
Mkuu naona umeandika upuuzi mtupu!!

Kwani wakiwa private wanatibu wakenya?

Je wakiwa private hawalipi mikopo yao?

Kama unataka wabaki kwann huboreshi mafao yao?
 
JPM hapo umeyumba mzee baba... inaonyesha kabisa una jazba na unaropoka tuu. Mkopp jnalipwa shida ipo wapi mzee?
 
Yeye aangalie deni lake La bodi ya mikopo wanalipa basi. Kwani kwenye mkataba wake na bodi ya mikopo kuna kipengele kinachosema lazima akafanye kazi serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…