mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ndivyo unavyofanywaga ndio maana umeharibikiwa😉😉Utapakatwa kilaza wewe , famba
Povu kama lote🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo unavyofanywaga ndio maana umeharibikiwa😉😉Utapakatwa kilaza wewe , famba
Asitake watuhudumie kwa hasira,wakiwawanatuhudumia hao wenye nongwa,yeye anahudumiwa na jopo maalumu lenye uhakika wa maslahi.Alione na hilo pia.Mitaani madaktari wapo kibao,hawana ajira,unamng'ang'ania huyo,baada ya awamu hii kupita,atapondwa sana huyu mzee na wanaomsaidia sasa.
Kwa maana hiyo angemuona huyo daktari ameacha kazi akaenda kulima kwa jembe la mkono yeye Magu angejisikia raha sana sio? Shida imekuja sababu ameenda sekta binafsi kwenye maslahi angalau yeye amejisikia vibaya? Jamaa ni SADIST.Alipotembelea Tanga miaka miwili iliyopita alisema Mfanyakazi yeyote ambaye hajaridhika na mshahara aende akalime au atafute kazi ya kufanya,sasa mtu ameona kipato chake hakitoshi akaenda private unamfuatilia wakati wewe umebana mapato lakini kwenu kunachanua kila siku huu ni uhuni.
Wanaofanya kazi private wanatibu warundi au watanzania?So long as the government is paying for the cost of their enhacement studies ni waajiriwa, besides they need to practice even after gaining further qualification kabla ujaitwa daktari bingwa experience which again is provided by government institutes or their partners.
Isitoshe wakati huyo mtu anasomeshwa na mshahara juu anapokea.
Halafu hakuna anaekataa consultants in Tanzania are underpaid but the government has invested a lot on them kwa sababu ya kusaidia jamii inayowazunguka na aifanyi ivyo kwa makusudi ni limitations tu mapato yao.
Kwa ivyo kinachohitajika zaidi ni uzalendo and loyalty.
Taratibu wapi wakati walifata maslahiWalifuata taratibu kadri ya mkataba wa utumishi na maadili yao
Biashara... private hawawezi kuajiri mtu ambaye hawezi kulipa kibiashara!!Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.
The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.
Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?
Mkuu,Wewe nawe huna lolote! Bla bla tu nyingi na usukuma wako tu ndiyo unao kusumbua. Unatetea ujinga! Mnapata faida gani nyinyi washamba wa mjini na mlio na mawazo ya kimaskini kwa hizi nguvu nyingi mnazoumia kuwaonea na kuwaumiza raia wema na wasio na hatia?
Halafu unajinasibu eti umesomeshwa na Umoja wa Mataifa! Sasa mbona hujaenda kufanya kazi kwa hao watu wako wa Umoja wa Mataifa walio kusomesha?
Muachage kuandika ujinga wakati ukweli upo wazi kuepuka kutukanwa hovyo kwani ukikaa kimyaa hata kama huyo magufuli unaempenda kaongea ujinga utapungukiwa nini?Hivi unaitukanaje sehemu iliyokuleta duniani lakini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Hivi mama yako anajua kama uko hapa kumtukania nyeti yake? Kwa akili zako zote unaona umenikomeshaaa kumbe unajilaani tuuu
Kweli kuzaa sio kupata[emoji849][emoji849][emoji849]
******** ni mshenzi mmoja taahira asiye na akili , hayawani .
Jitu Lina sura mbaya na roho mbaya shetani akasome , Ibilisi mwenye mwili WA binadamu .
Yaani hili li pimbi ipo siku litasimamisha hata mishahara kabisa
We unasema kwa sababu hauko kwenye kundi hiloMikataba ya vyama vya siasa na mikataba ya utumishi wa umma na maadili havijawahi fananishwa
Mtanzania anayeamini katika mifumo ya kiutendaji Hadi leo hii yawezekana yuko usingizoni,habari,sheria,na mamlaka za kisiasa kwa yale anayoambiwa kwa mgongo wa uzalendo tafakari mara tatu kabla ya kuamini.Vyama vya wafanya kazi bure kabisa vinakula hela zetu kila mwezi
Kwani mtu akienda private halipi mkopo kila mwezi? Magu nani kamloga siku hizi?Ni sawa tu, wapo wengi wana private hospitals au hata kufanya kazi part time huko ila hawaachi kazi za serikali, na wapo happy.. huyu lazima kuna zaidi ya hayo ameyafanya.
Mbona wewe umeandika ujinga tuu. Kaa kimya basi🤣Muachage kuandika ujinga wakati ukweli upo wazi kuepuka kutukanwa hovyo kwani ukikaa kimyaa hata kama huyo magufuli unaempenda kaongea ujinga utapungukiwa nini?
Achana nae piga kimya.Malaya mnuka uchi mmoja wewe
Mkuu naona umeandika upuuzi mtupu!!Graduates wapo wanaotafuta ajira unajua kwanini private aijiri hao?
It’s takes time kuaminika miaka ya mwanzo ya internship ni kama anachukua mshahara wa bure wakati anajengewa experience.
Awawataki hao graduates pamoja na kwamba ni qualified Drs. Serikali ishafanya wajibu wake kuwasomeshea kwao hiyo aitoshi inataka na wale inaowajengea experience na ubobezi wa kazi halafu wanapofikia hatua hizo wao ndio waje kuchukua (shamba la bibi).
Do you even know the cost incurred and years it to make a consultant? Watengeneze wao kama rahisi kuna graduates wengi tu mtaani.
Hii mikataba ya ajira inabidi iangaliwe upya n wizara ya afya, watu awawezi kuichukulia serikali poa ivyo.
Ni upuuzi kutetea aina hiyo ya watu, watanzania wenye kipato cha kawaida wana haki pia ya kupewa huduma ya afya iliyo na ubora, kutoka kwa madokta wenye uzoefu.