Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Hivi we we unafahamu garama za huko private kweliii??? Hao walalahoi waliomsomesha daktari wataweza kumuduu?? Acheni utani na fedha za umaaaUko private haikuna raia?
Nani kakudanganya kwamba walala hoi ndo walipakondi wakuu nchini na duniani?? Fikiri sawasawaHivi we we unafahamu garama za huko private kweliii??? Hao walalahoi waliomsomesha daktari wataweza kumuduu?? Acheni utani na fedha za umaaa
hilo neno uzalendo siku hizi linatumika kuwatia watu waendelee kuwa mazuzu!!kila kitu kinasimamiwa na sheria,na sio matamko ya mtu!! hao mnaowatumikisha hadi wanastafu kisha mafao yao yanakuwa ni kama hisani kuwapatia hadi wanafariki huo ndio uzalendo?!!mtumishi ana miaka 3 toka astafu hadi leo hata nauli tu ya kumrudisha kwao bado!!!yaani mtu kuacha kazi kwa kufuata utaratibu uliopo kisheria nako kumekuwa kosa?!!ni suala la muda tu huko mbeleni (awamu ya 6) serikali itafunguliwa kesi nyingi sana za watu kudai fidia!!nje na ndani ya nchi!!NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Walipa kodi wakuu ni matajiri shutuka acha kujidanganya na kudanganywaHivi hizo garama za hispitali za private hao walalahoi waliomsomesha kwa kuuza mahindi na maharagwe wataweza kumudu garama zile?? Yeye daktari yule aliyeajiriwa kwenye hospitali zetu walalahoi, amalize mkataba wetu ili tunufaike tuliomsomesha, kisha akatafute hizo hospitali, ambazo kumuona daktari na lakimoja hukubado hujalipa vipimo na dawa zakee
Ndio hivyo halafu pia zinalipa kodi Licha ya Kuwa inatoa Ajira kwa watu wengineHuyu Mzee hopeless sana...
Anasema;
"....madaktari hao na hospitali zinazowarubuni watoke katika hospitali za serikali kwa kisingizio cha maslahi zifuatiliwe...."
Kauli ya "zifuatiliwe" maana yake zimefanya makosa kuwaajili madaktari hao na kwa hiyo hatua kali zichukuliwe dhidi ya hospitali hizo..!
Kauli ya namna hii toka kwa Rais Wa nchi inashangaza sana. Badala ashukuru kuwa sekta binafsi inasaidia serikali kuajiri watu wake, yeye anatoa kauli za ajabu ajabu zilizo na harufu ya u - siasa siasa tu kwa ishu serious kama ajira na maslahi ya watu...
After all madaktari mitaani wako kibao. Kwani serikali isiajiri hao?
By the way huko walikoenda hawa madaktari (hospitali binafsi) nako wameenda kuhudumia watu, Watanzania hawahawa. Sasa sijui shida iko wapi...
Huko nako wanataka walio experience. Not fresh from university... KizunguzunguWa Mtaani ambao hawana ajira kabisa, mbona wapo wengi
Ni Sawa na kung'ang'ania kurubuni Mke wangu wakati kama Yeye wapo wengi tu mtaani
Ifike hatua Private waweke kigezo cha kutoajiri mtu yeyote aliwahi kufanya kazi serikalini ili wasikwazane na Mamlaka z nchi
Huyo daktari arudiii tuuuu tumfaidi tuliomsomeshakwenye hospitali yetuuNani kakudanganya kwamba walala hoi ndo walipakondi wakuu nchini na duniani?? Fikiri sawasawa
Na wewe tengeneza kiki uende uberigiji kamaa jamaa yenuuhilo neno uzalendo siku hizi linatumika kuwatia watu waendelee kuwa mazuzu!!kila kitu kinasimamiwa na sheria,na sio matamko ya mtu!! hao mnaowatumikisha hadi wanastafu kisha mafao yao yanakuwa ni kama hisani kuwapatia hadi wanafariki huo ndio uzalendo?!!mtumishi ana miaka 3 toka astafu hadi leo hata nauli tu ya kumrudisha kwao bado!!!yaani mtu kuacha kazi kwa kufuata utaratibu uliopo kisheria nako kumekuwa kosa?!!ni suala la muda tu huko mbeleni (awamu ya 6) serikali itafunguliwa kesi nyingi sana za watu kudai fidia!!nje na ndani ya nchi!!
Nayo serikali iweke marufuku ya kuchukua watumishi kutoka sekta binafsi.Wa Mtaani ambao hawana ajira kabisa, mbona wapo wengi
Ni Sawa na kung'ang'ania kurubuni Mke wangu wakati kama Yeye wapo wengi tu mtaani
Ifike hatua Private waweke kigezo cha kutoajiri mtu yeyote aliwahi kufanya kazi serikalini ili wasikwazane na Mamlaka z nchi
Kwa taarifa yako kuna watu walipiga makofi alivyotamka hivyo.Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
ya kurogwa tena... mmmmh.. hivi ndio kufanywaje au inakuwaje?..Kwani mtu akienda private halipi mkopo kila mwezi? Magu nani kamloga siku hizi?
Hapo ndio umejibu hoja?!kwa akili hizi , ki ukweli acha meko, awaburuzeee,Na wewe tengeneza kiki uende uberigiji kamaa jamaa yenuu