Chakulinga
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 142
- 181
Unamawazo ya kimasikini sana,umewahi kuona tangazo la kazi la serikali?Jibu hoja yangu: private waende mtaani, madaktari wapo fulllView attachment 1689821
Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wa ajira?Heeeeeee bhanya bhabya ketaaaaaa🤪🤪🤪🤪🤪, ujinga na upuuzi mtupu. Kumpa mkopo ndo tiketi ya kumtesa na malipo madg ya mshaharaa?
Lisu alisema "TUNA RAISI WA AJABU, NARUDIA TENA, TUNA RAISI WA AJABU SIJAWAHI KUONA"
leo nimekubali, kweli TUNA RAISI WA AJABU SANAAAAAAAAAAAAA. full stop.
Kwani umezuiwa kuponda sasa hivi? Acha unafiki.Mitaani madaktari wapo kibao,hawana ajira,unamng'ang'ania huyo,baada ya awamu hii kupita,atapondwa sana huyu mzee na wanaomsaidia sasa.
ARV hizo msameheniMbona mzee ana jazba sana huyu
Nimesikitika sana kwa kauli hii ya Rais! Nchini inasomesha Madaktari ili kuja kuhudumia watanzania walewale wanaoenda kutafuta huduma katika hospitali binafsi na umma! Kwani hospitali binafsi zinahudumia mabeberu au watanzania hawa hawa? Sad!Hana akili huyu mzee
Hiyo hufanyika kwenye seriously private institutions, but kwenye ile form ya mkopo haina vipengele hivyo mkuu! Na hiyo serikal yetu hakuna vipengele kama hivyo. Mbona walimu weng sana wanahamia huku private schools na hakuna wa kulalamika🤫💥Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wa ajira?
Sijui kama madokta Tanzania wana hiyo clause kwenye mkataba wao wa ajira but that is normal practice kwenye taasisi nyingi duniani hata huko ulaya depending umeajiriwa katika nafasi gani.
Kuna sehemu ukitaka kuacha kazi inabidi uwalipe fidia kubwa au mkataba uliokuwa nao una kuzuia kufanya kazi kwenye hiyo field bila ya ridhaa ya mwajiri.
Hakuna cha ajabu alichoongea Magufuli, that is normal.
What if alichukua mkopo?..........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo
Ukweli ni mchungu kumeza. Daktari bingwa sio mtu mdogo halafu umpeleke kijijini you are not serious.Hili waimba mapambio watakutoa macho.
Mbona kila Leo vijana wanaaswa kujiajiri?!Tunakoelekea mikopo itawekwa masharti ya "lazima kufanya kazi serikali"
Point kubwaaaaaa. Tumkumbushe na yeye🤔Mkuu kasahau kua yeye alikimbia ualim akaingia kwenye siasa , daaah kwel Hii Nchi inazidi kua ngumu
SawaUnamawazo ya kimasikini sana,umewahi kuona tangazo la kazi la serikali?
Sasa mkuu hospitali aliyoenda mnaifungia kwa lipi ? kwa roho zako mbaya kama hizi ndio maana watu wengi hawaamini kama wewe ni mtanzania .View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”