Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
UoneziRais Magufuli leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”-JPM
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”-JPM
My take.
Kuna maslahi madogo hasa ya kimshahara katika utumishi wa serikalini, naomba serikali iongeze mishahara kwa watumishi ili kuepukana na changamoto hii. La sivyo serikali itaendelea kupoteza mapato kwa watu kukimbia utumishi wa umma serikalini.
Mnatetea kila kitu wakuu..kwani kuna makubaliano kwamba ukikopeshwa mkopo wa masomo ufanye kazi na Serikali? Mbona tukisema ajira hakuna mnatuuliza lini serikali iliingia mkataba wa kutoa ajira kwa wasomi wote?Ingekua sahihi kama angaelipa kwanza 100% ya mkopo wa Serikali aliokopa na riba yake ndio atoke
Kwani huko hosp binafsi anatibu wasomalia??hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi
View attachment 1689777
wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Cuba hawana shida kutoa madokta wao provided mwajiri anapeleka maombi kupitia serikali yao; mnaingia makubaliano unapewa hao wataalamu.Na serikali inahakikisha wanapata kazi hata nchi nyingine.
Mbona wanasiasa wanakula hela za serikali za kila siku mnawaacha. Si jana kasamehewa alonunua gari la anasa na zahanati hazina ambulance.Ndio maana nikakwambia inategemea na nafasi, sasa mtu keshakuwa experienced Dr na hiyo experience kapewa na serikari jumlisha na elimu yake iligharamiwa na serikali halafu asepe tu.
It’s not hard to train a teacher or replacing one uitaji kumuwekea ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wake. But a doctor is another story it takes time and money to train one and they become more valuable with years of experience.
Halafu experienced Dr asepe tu kirahisi rahisi bila ya ridhaa ya mwajiri wake ilo kwakweli hapana atapike hela za serikali; kwanza sio kitendo cha kiungwana wala kizalendo.
Nafikiri hichi kitu kipo na wanafunzi wa Udaktari huwa hawapewi mikopo bali grants hawalipi. Ila kunakipengele cha kufanya kazi 5 yrs.Kule hawatibu watu ?
Wanadaiwa ?, Wamelipa hawajalipa ?, kuliko kufungia hospital / mtu anayetibu watu pia ni rahisi sana kwenye mkataba wa mkopo waseme kwa miaka kadhaa lazima ufanye kazi ya serikali sehemu yoyote utakayopelekwa (hapo mtu anakuwa anabanwa kwa mkataba) sio aina hii ya sheria / maamuzi kutoka kwenye kinywa cha mtu
Watu WALIONA MATESO na MAUAJI tunayopitia wana CHADEMA hayawahusu. Tukiwa wamoja tutaitoa hiii DUBWANA madarakani.Mlikuwa mnamtukana TL aliposema tuna raisi wa ajabu haijapata tokea toka Tanzania ianzishwe Tukampinga, mnaona sasa ?
Sasa sio kosa la daktari. Kama serikali haina huo utaratibu ni tatizo la serikali.Cuba hawana shida kutoa madokta wao provided mwajiri anapeleka maombi kupitia serikali yao; mnaingia makubaliano unapewa hao wataalamu.
kwani mkopo halipi??
On the positive side:Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Huyu Kivuruge anawaonea watanzania kwa sababu ameshawaona wana ule uople wa kijinga. Swala kama hili linatakiwa madaktari wote waungane wagome.Eti wamesoma kwa hela yetu, yaani anaiona Tanzania ni Mali ya mamake, na Uzalendo ni kupata shida huku tukimchekea .
Siku yake yaja.
Kwani mkuu kama ni hizo hela si bado anailipa serikali? Kwan amelikimbia deni? Na kama mnajua kumpata daktari tena ni kisanga, sasa kwanini hamyathamini maslahi yao? Kwann hamwathamini??? Alafu daktar alichokifanya amehamia kituo kingne tu ila jukumu atakalolifanya huko aliko n sawa na ambalo angelifanya akiwa serikalin!Ndio maana nikakwambia inategemea na nafasi, sasa mtu keshakuwa experienced Dr na hiyo experience kapewa na serikari jumlisha na elimu yake iligharamiwa na serikali halafu asepe tu.
It’s not hard to train a teacher or replacing one uitaji kumuwekea ‘restrictive covenant’ kwenye mkataba wake. But a doctor is another story it takes time and money to train one and they become more valuable with years of experience.
Halafu experienced Dr asepe tu kirahisi rahisi bila ya ridhaa ya mwajiri wake ilo kwakweli hapana atapike hela za serikali; kwanza sio kitendo cha kiungwana wala kizalendo.
Analipaje mkopo na apewi mshahara mzuri? Na kila mwaka mkopo unaongezeka asilimiaIngekua sahihi kama angaelipa kwanza 100% ya mkopo wa Serikali aliokopa na riba yake ndio atoke
What a Huzzy... Gtfoh!Tena umshukuru maana ndio huyohuyo anaekusadia pale kwa mkeo
Au unajidai hujui kama unasaidiwa!? Mbona kila mtu anajua[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]