Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Kwa kweli ni vitu vya aibu sana ktk Taifa letu kadiri siku zinavyoenda na vituko ndio vinazidi kuongezeka. Sijui ni nani atakayetuokoa ktk hili janga.
 
Ikulu haina hadhi na cheo cha u Rais hakina hadhi tena. Naogopa sana why him and what a shame eeeh Mungu saidia
 
Taarifa imeshatolewa katika ziara ya Mh.Rais leo Tabora .haiwezekani serikali ikukopeshe Ada halafu ukishapata ajira unahamia kwenye maslahi zaidi. Hii haikubaliki .kwahiyo mlioko serikalini na mtakaoapata Ajira mpya za serikali mkae mkilitambua hilo.

Ukiingia umeingia Hakuna kutoka

Nawasilisha.
Kwa hiyo zile taratibu za kuacha kazi katika utumishi wa umma haziwahusu madaktari? yaani watumishi wengine wanaweza kuacha kazi lakini madaktari hapana, hiki nacho ni kituko cha karne...
 
Nakuona utaugua ndugu.. punguza hasira.. jijengee maisha yako.. nakusaidia ujue sio kila kitu ni cha kutegemea.. wewe unaweza kujisimamia ukafika huko juu.. ukiona vipi nenda kamtoe wewe..
 
Mbombo ngafu
 
Ikulu haina hadhi na cheo cha u Rais hakina hadhi tena. Naogopa sana why him and what a shame eeeh Mungu saidia
Dunia nzima inatcheka kuweka kituko kama hiki ikulu. Ongea yake, uwezo wake wa kujenga hoja vinatosha kabisa kuwa sabb ya kumpeleka Milembe
 
Hakuna aliye salama.......tundu lissu voice...
Ukijiona uko salama jua siku yako haijafika
 
Pole kwa yaliyokukuta ndugu! Ila kuna vitu tunapaswa kujua, Magu ni mzalendo kupindukia:

SERIKALI inakupa full sponsorship ya exceptional, unique Medical Courses mfano areas of specialization kama NEUROSURGERY, KIDNEY TRANSPLANT , HEART SURGERY kwa gharama kubwa kama Mtumishi wao unamaliza masomo baada ya masomo unaamua kuhamia hospital binafsi bila kujali pesa nyingi za walipa kodi zilizowekezwa kwako
Yaani kwenye public kupata huduma yako gharama ni chini
Huko kwenye private hospital kupata huduma yako gharama ni kubwa kweli na ndio wanapopata pesa ya kukuongezea huo mfano.
Kwa ufupi huyo mwenye private hospital anakuwa amekufanya bidhaa anakupandisha bei kwenye hospital yake dhidi ya watanzania ambao pesa zao ndio zimekusomesha
Kwa ufupi huyo mwenye private hospital anakuwa ameigeuza public ASSET kuwa private asset kwa maslahi yake BINAFSI bila kujali UWEZO wa watanzania.
Hivyo naunga mkono maelezo na maelekezo ya Mhe Rais
Kama huyo mwenye private hospital asomeshe specialist wake kisha aweke gharama kubwa kuonana na wagonjwa badala mtindo wa sasa unamchukua specialist aliyesomeshwa na SERIKALI kisha unaweka gharama kubwa kuonana na wagonjwa ambao ndio hao hao wamemsomesha huyo specialist kwa gharama kubwa kupitia kodi zao akiwa Mtumishi wa SERIKALI
 
Pole kwa yaliyokukuta ndugu, naona jiwe la gizani limekupata! Ila kuna vitu tunapaswa kujua, Magu ni mzalendo kupindukia:

Back
Top Bottom