jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Mbona mzee ana jazba sana huyu
Labda kuna tatizo kubwa tu mahali.. maana si kwa jazba hizi aiseee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mzee ana jazba sana huyu
Kwa hiyo zile taratibu za kuacha kazi katika utumishi wa umma haziwahusu madaktari? yaani watumishi wengine wanaweza kuacha kazi lakini madaktari hapana, hiki nacho ni kituko cha karne...Taarifa imeshatolewa katika ziara ya Mh.Rais leo Tabora .haiwezekani serikali ikukopeshe Ada halafu ukishapata ajira unahamia kwenye maslahi zaidi. Hii haikubaliki .kwahiyo mlioko serikalini na mtakaoapata Ajira mpya za serikali mkae mkilitambua hilo.
Ukiingia umeingia Hakuna kutoka
Nawasilisha.
Kwani huko walikokimbilia wameenda kutibu Ng'ombe au?NIKUKOSA UZALENDOO. MADAKTARI HAWA WAMESOMA KWA KODI ZA LALA HOI WAUZA MAHINDI NA NAMAHARAGWE, HALAFU MNAWAKIMBIA WALIOWAWEZESHAA?? KUNA LAAANA ITAFUATA JUUU YAO
Eeh! Mkuu JF ni jukwaa la wenye fikra siyo wenye matusi.hauna akili, hilo ndio tatizo lako we zyapunga weeeee
Mbombo ngafuNakuona utaugua ndugu.. punguza hasira.. jijengee maisha yako.. nakusaidia ujue sio kila kitu ni cha kutegemea.. wewe unaweza kujisimamia ukafika huko juu.. ukiona vipi nenda kamtoe wewe..
Tumekwama kwenye tope zito. Haijulikana ni nani atatukwamuaSijui ni nani atakayetuokoa ktk hili janga.
Dunia nzima inatcheka kuweka kituko kama hiki ikulu. Ongea yake, uwezo wake wa kujenga hoja vinatosha kabisa kuwa sabb ya kumpeleka MilembeIkulu haina hadhi na cheo cha u Rais hakina hadhi tena. Naogopa sana why him and what a shame eeeh Mungu saidia
Ndiyo maana tunajadili. Tutapata njia tu ya kumuondoa tu huyu mental case. Ni suala la muda tu.ukiona vipi nenda kamtoe wewe..
Sana. Chizi kapewa rungu. Unategemea nn?Tunakoelekea kutakuwa na shida sana
Fijho fijho nkamu ghwanguMbombo ngafu
Kumbe hili suala la fikra sio matusi ni muhimu ?. Inapendeza.Eeh! Mkuu JF ni jukwaa la wenye fikra siyo wenye matusi.