Serikali ikome kujiinguza kwenye shughuli ambazo hakustahili. Yote haya kuharibu Meko, amekuta wadau wa korosho wameanzisha mfuko wa maendeleo wa zao la Korosho. Mfuko ulikuwa unasimamiwa na Bodi ya Korosho, ulipoingia anavunja Bodi na kuchukua hela za mfuko na kuziingiza kwenye mfuko wa hazina. Walimuonya bungeni lakini hakushaurika na akaishia kusema eti wanasiasa wana uchezea mfuko wa korosho.
Kama angekuwa ameacha korosho iendelee kusimamiwa kama iluvyokuwa zamani basi mfuko huo ungesaidia kufidia wakulima pale bei ya Korosho inapokuwa imeteremka kama mwaka huu.
Lakini vichwa vya Watanzania nimekaa kamasi tu, utasikia wanamshangilia kwa hii taarifa ya leo.