Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

Utabangua na kuzitafuna mwenyewe. We endelea kuziangalia.
Korosho zetu tunanawakabidhi vyama vya msingi, huko kuna waandishi na wenyeviti ambao wengi wao:-
-wana elimu ya std vii
-wana uchu wa kujitajirisha
-hawajali lolote
--si waoga kuchukuwa mali ya mkulima na kujiandikisha yeye
-wana shughulika na mamilioni, wakati hesabu za shule ya msingi tu ziliwashinda, ila waongeaji sana kupelekea kupa nafasi,
-hawashitakiki kazi kuwatisha tu ili warudishe fedha na inashindikana
-serikali ililipa lakini iliishia kwa waandishi, na mfano rafiki yangu alipeleka kg 1400, alilipwa kg 400 tu,1000kg alijiandisha mwandishi, kwa hofu aliamua wadaiane nje ya taratibu, ni mbaya sana
-binafsi nadai zaidi ya laki 7, vikao tu hii kabla ya msimu ambao serikali ilinunua hadi leo
-viongozi ngazi ya wilaya,mkoa, hawana uwezo wa kushughulika nalo ila hawako tayari kusema limewashinda
Ndio maana nasema Rais ingilia jambo ili, kwa kuwa wenye dhamana wanajificha eti kupiga vita kangomba ambayo haina hathali kwa mkulima kuliko haya masaibu
Korosho nimeokota ila siridhiki kupeleka ghalani, naziangalia nyumbani kwanza.
 
hivi hayo matatizo ya korosho yameanza sasa hivi, au hata huko nyuma yalikuwepo?
 
IMG_2019-11-19_7-30-53_842.jpg
 
hoja mufilisi
Serikalo mpaka sasa imeshindwa kuwalipa wakulima wote, bado kuna watu wanadai wengi tu licha matamko sijui peleka bilion kadhaa na kadhaa.


Mpaka sasa hiv hakuna pembejeo ya bure licha watu kutaka kununua lakini Serikali imeshindwa kusimamia kupatikana kwa wakati.

Msimu huu, Serikali imeshindwa kusimamia upatikanaji wa magunia.
 
Back
Top Bottom