Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hili jambo hadi Rais anaona... Wehauoni kama kuna tatizo la kimkakati na utekelezaji..??wizara si waziri pekee kuna watu wizarani ndo watendaji hasa kama Katibu mkuu Wakurugenzi NK nahisi ndo walengwa hasa
nimeliona ila nilivyomskiliza bosi wa takukuru inaonyesha kuna maofisa wizarani wanahusika zaidi kwani kwa uchunguzi wao viongozi wa vyama kule wamekutwa ni watu kama wametumika tu ni watu masikini wasio chochote ila hela zimepigwa na kundi flani ndo wanalofuatilia hicho ndo nilicho maanisha mkuuMkuu, hili jambo hadi Rais anaona... Wehauoni kama kuna tatizo la kimkakati na utekelezaji..??
Wale mtaji wao haukufika hata Bil 10, pumzi yao ilikata tangu mwaka jana mwezi wa 11.ile benki ya mambo ya kilimo kilimo imeshakufa nini!?..mpaka pesa inatakiwa kutoka hazina!!
Na hii pesa ni ya nini sasa ?, au wale hawajalipa ?Zimeshanunuliwa znaenda majuu Huko .maeneo nilipo daily semi znapita zikiwa zimesheheni Makorosho
Next time hatasikua moshi bali ataungua, muache aendelee na kiburi.Sijui kama kuna aliyesikia harufu ya moshi humu kama nayoisikia Mimi
Umeongea vizuri sana....ingawa si Vyema kumuita Meko....katika kosa alilofanya Rais ni kuvamia mfuko wa korosho....Serikali ikome kujiinguza kwenye shughuli ambazo hakustahili. Yote haya kaharibu Meko, amekuta wadau wa korosho wameanzisha mfuko wa maendeleo wa zao la Korosho. Mfuko ulikuwa unasimamiwa na Bodi ya Korosho, alipoingia akavunja Bodi na kuchukua hela za mfuko na kuziingiza kwenye mfuko wa hazina. Walimuonya bungeni lakini hakushaurika na akaishia kusema eti wanasiasa wana uchezea mfuko wa korosho.
Kama angekuwa ameacha korosho iendelee kusimamiwa kama ilivyokuwa zamani basi mfuko huo ungesaidia kufidia wakulima pale bei ya Korosho inapokuwa imeteremka kama mwaka huu.
Lakini vichwa vya Watanzania vimejaa kamasi tu, utasikia wanamshangilia kwa hii taarifa ya leo.
Kumbe? hongera sana kwa kulipwa pesa.Wengine ndo tunalipwa mwezi huu hela had tulisahau
Yeye ndio mpigaji namba moja tunalijuwa Hilo mbonaRais Magufuli ameiagiza wizara ya fedha kutoa jumla ya sh 40 bilioni ili kumaliza madeni wanayodai wakulima wa korosho.
Kadhalika mh Rais Magufuli amesema bado hajaridhishwa na utendaji wa wizara ya kilimo kwani bado kuna dhulma na wizi wa fedha za wakulima kunakofanywa na vyama vya ushirika
Source ITV habari!
Kwann alipe saiv.Kura zinabembelezewa hapo.
Kampeni maridadi kabisa.