Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Mifuko kufa inahusu nini kwa mfanyakazi , mifuko inaenda kuwekeza kwenye upumbavu usiokuwa na faida.

Tena huyu mama wa SSRA asifikiri zile fedha zinazochangiwa zinaenda kukaa, zinaenda kuwekezwa.

Wafanyakazi wakidai riba hiyo mifuko inaweza kulipa.

Mama Irene asifikirie yale mafao ni hisani.
 
Ila Waziri wa kazi Mama Mhagama kaongea vizuri sana nafikiri uenda kuna kitu yamikini hakiko sawa.
 
Sawa mtoto Wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI binafsi nimepata ugumu kuuelewa, huyu si ndo alienda Clouds fm akatoa ufafanuzi flani hivi

Unapotetea kitu ambacho kina walakini unajikuta hujui itumie point gani.

Anarukaruka tu.
 
Naona kila kitu serikali hii ni confusion. Sijui hawaellewi maana ya regulation? Regulation inafanyaka upon competion. If there is a monopoly no regulation is required
 
Sasa watu wamewekeza kwenye utumbo, kitu cha sh 10 wamenunua kwa sh 100, sh 90 wameipiga, sisi inatuhusu nini?

Ingekuwa inakufa kwa sababu hatujachangia hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…