Hongera Mh JPM Rais wa JMT kwa kugundua hujuma ulizokuwa unafanyiwa kupitia mafao ya kustaafu ya wafanyakazi, na rudia hongera kwa kuwa umeona hili, Usishie hapo liko fao la kujitoa nalo ulirudishe na vema ukajua ni nani walikuwa nyuma ya hii hujuma. This was a very systematic sabotage iliyoanzishwa tangu huko nyuma kwa fedha za mifuko hii kufujwa na kuleteleza maamuzi haya ya,sasa ya kuichonganisha serikali iliyoko madarakani na wafanyakazi ili ichukiwe sana na wafanyakazi. Lakini ni jambo jema Mungu kasimamia na hujuma hii imegeuka kumpa Rais JPM umaarufu baada ya maamuzi haya ya busara, Bravo.