Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaàaaaaa,wapo nusu gereza hapoHao waliohudhuria wanavyopiga makofi ya unafki hata jamaa akismile tu basi makofi kwa kwa kwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayeweza kumsifia jiwe kwa tabia zake za hovyo ispokuwa aliejitoa ufaham tu
Wanaccm waliokuwa wanatetea hii fomula ya kukokotoa watampongeza rais?
Siasa za Magu zinawatesa zaidi wanaCCM maana hawajui wapi wasimame naye ili kesho wasiumbuke!
Limerudishwa ndo maana yake kasema turudi mfumo Wa zaman had 2023,kachukue hela yako
Wanaccm waliokuwa wanatetea hii fomula ya kukokotoa watampongeza rais?
Siasa za Magu zinawatesa zaidi wanaCCM maana hawajui wapi wasimame naye ili kesho wasiumbuke!
Mlishangilia kikokotoo kipya,sasa mnarudi kushangilia cha zamani!!!!serikali sikivu...