Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)


Wanaccm waliokuwa wanatetea hii fomula ya kukokotoa watampongeza rais?

Siasa za Magu zinawatesa zaidi wanaCCM maana hawajui wapi wasimame naye ili kesho wasiumbuke!
Hakuna anayeweza kumsifia jiwe kwa tabia zake za hovyo ispokuwa aliejitoa ufaham tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Dada Dkt. Irene Isaka natabiri kwa hili la Dege Village hana muda mrefu katika hicho Cheo chake hivyo GENTAMYCINE nimuombe tu kuwa kuanzia sasa aanze Kujiandaa Kisaikolojia na pia atafute Fursa za Kiajira Kwingineko.
 
HAPA TEGEMEA WASTAAFU WA HIARI WENGI KULIKO WAKATI WOWOTE
KWA SHERIA ILIYOPO MTUMISHI ANAWEZA KUSTAAFU KWA HIARI AKIFIKISHA MIAKA 55

NANI ATASUBIRI KIKOKOTOO KIPYA KAMA ANASIFA YA KUONDOKA KWA HIARI??
 
Hongera Mh JPM Rais wa JMT kwa kugundua hujuma ulizokuwa unafanyiwa kupitia mafao ya kustaafu ya wafanyakazi, na rudia hongera kwa kuwa umeona hili, Usishie hapo liko fao la kujitoa nalo ulirudishe na vema ukajua ni nani walikuwa nyuma ya hii hujuma. This was a very systematic sabotage iliyoanzishwa tangu huko nyuma kwa fedha za mifuko hii kufujwa na kuleteleza maamuzi haya ya,sasa ya kuichonganisha serikali iliyoko madarakani na wafanyakazi ili ichukiwe sana na wafanyakazi. Lakini ni jambo jema Mungu kasimamia na hujuma hii imegeuka kumpa Rais JPM umaarufu baada ya maamuzi haya ya busara, Bravo.
 
KWA MARA YA KWANZA NIMEMUELEWA KARANJA MKUU.
MAFAO YETU WALITAKA KUTUIBIA HADHARANI PUMBAVU KABISA.

ILA BADO NILITAMANI WALIOTUINGIZA KATIKA UJINGA HUU WAWAJIBIKE, NAO NI YULE MAMA WA SSRA PAMOJA NA WAZIRI HUSIKA.
 

Wanaccm waliokuwa wanatetea hii fomula ya kukokotoa watampongeza rais?

Siasa za Magu zinawatesa zaidi wanaCCM maana hawajui wapi wasimame naye ili kesho wasiumbuke!

Technic anayotumia ni ya 15th century ambapo kulikua hakuna recordings na social media this way....

Sasa kinachofuata kama ulivyosema,wapambe wote itabidi wawe wananyamazaga tu by proxy kama mabumbuwazi maana hawajui waseme nini.....

Na effect itakua kubwa zaidi...

At the end of the day,Jiwe atapata hasara zaidi maana atakua ameua cadre nzima ya minions wake...na yeye mwenyewe hawezi katiza!
 
Back
Top Bottom