Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Kikokotoo cha zamani kitatumika mpaka 2023, mmmh isije kuwa anataka tu kura za wafanyakazi 2020 baada ya hapo tabu iwe pale pale
 
Bado ule Muswada...naona nao unalalamikiwa sana!!
 
Hakuna cha wapinzani wala nini, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ndiyo walimtafuta rais, waliomba kuonana naye na siyo hiyo misukle ya upinzani ambayo haijui kitu
 
Habari
Leo Rais Magufuli amecheza vizuri ule mchezo wa tengeneza tatizo Kisha tatua ili uwe shujaa. Sasa ni mwaka wa tatu hakuna nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Sasa nawauliza hao viongozi waliokaa na Rais Je vip swala la nyongeza ya mshahara ndo limeshakufa kibudu
 
Fanyeni kazi zenye tija mjenge nchi nyongeza baadae sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Mh JPM Rais wa JMT kwa kugundua hujuma ulizokuwa unafanyiwa kupitia mafao yaxkustaafu ya wafanyakazi, na rudia hongera kwa kuwa umeona hili, Usishie hapo liko fao la kujitoa nalo ulirudishe na vema ukajua ni nani walikuwa nyuma ya,hii hujuma.
Walianzia mbali sana... afu kidogo kidogo
 

Ww nawe Huna jema duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…