Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe uhai tu. Huyu unaye pale magogoni mpaka 2025.H
Huyu atakuwa wa kwanza kuserve one term
KUNA KAUTHUBUTU JAPO KUTULIZA NYOYO KWA MUDA.Mpaka 2023 sisi wengine itausaidia nini ambao tunastaafu baada ya miaka kadhaa mbele sana?acha kuongea ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa........ Mafao ya kustaafu hayana vyama!
Hakuna cha wapinzani wala nini, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ndiyo walimtafuta rais, waliomba kuonana naye na siyo hiyo misukle ya upinzani ambayo haijui kituNaombeni Mods msiunganishe huu uzi, usimame kama ulivyo.
Nyie Wabunge wa Upinzani Mungu atawabariki sana,mlipiga kelele sana juu ya Ukatili na Mateso ya Kikotoo Kipya cha 25%,mlipiga kelele, wabunge wenzenu wa CCM walikuwa kimya, na wengine walienda mbele kumpongeza Raisi kwa Kikotoo kipya na kuwaita wale wote waliokuwa against the new 25% scheme kuwa ni maadui wa Taifa.
Juzi tu Mh John Mnyika katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara Mpya uliofunguliwa na Rais Magufuli Mnyika alizungumzia kuhusu adha ya 25% wanayopata wastaafu.
Leo Raisi amepiga mule mule walipokuwa wanapiga wapinzani, ni aibu kubwa sana kwa wale wote waliokuwa wana support that new Scheme kwa Kigezo cha Kumuunga Mkono Raisi.
Raisi amewaumbua.
Mungu wabariki wana Wabunge wa Upinzani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale Mganga wa kienyeji anapomroga mtu kwa kutega dawa njia panda,kisha kuja kumtibu mwanakijiji huyo.Na kwa shukrani nyingi,mwanakijiji anampelekea mganga mbuzi ili ale.
Kwasababu aliyeondoa utaratibu wa mahesabu ya zamani ni Mbowe sio!??
Fanyeni kazi zenye tija mjenge nchi nyongeza baadae sanaaaHabari
Leo Rais Magufuli amecheza vizuri ule mchezo wa tengeneza tatizo Kisha tatua ili uwe shujaa. Sasa ni mwaka wa tatu hakuna nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Sasa nawauliza hao viongozi waliokaa na Rais Je vip swala la nyongeza ya mshahara ndo limeshakufa kibudu
Walianzia mbali sana... afu kidogo kidogoHongera Mh JPM Rais wa JMT kwa kugundua hujuma ulizokuwa unafanyiwa kupitia mafao yaxkustaafu ya wafanyakazi, na rudia hongera kwa kuwa umeona hili, Usishie hapo liko fao la kujitoa nalo ulirudishe na vema ukajua ni nani walikuwa nyuma ya,hii hujuma.
Habari
Leo Rais Magufuli amecheza vizuri ule mchezo wa tengeneza tatizo Kisha tatua ili uwe shujaa. Sasa ni mwaka wa tatu hakuna nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Sasa nawauliza hao viongozi waliokaa na Rais Je vip swala la nyongeza ya mshahara ndo limeshakufa kibudu