Hao wawakilishi wa wafanyakazi ni wajinga
Badala waombe mishahara mikubwa ili wafanyakazi watatue matatizo yao ya sasa eti kikokotoo ambapo hujui lini utakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
alikuwa anaongea kama nchi yake binafsi. pole yake sasa hivi atakuwa anaukaribisha mwaka mpya kwa mawazo sana ya kutumbuliwa.
Alikua anapima upepo, kaona mambo magumu kaamua kutoa watu kafara... JIWE bwana!!Mh, Rais John Pombe Magufuri ametigua kitendawili hicho baada ya kusema kila mfuko uendelee na kanuni yake ya kikokotoo kwa wastaafu mpaka mwaka 2023. Pia ametoa maelekezo yafuatayo kwa mifuko ya hifadhi ya jamii
1). Kuhakikisha hakuna wastaafu hewa kwenye daftari la wastaafu.
2). Mifuko ya jamii kupunguza matumizi yasiyo na tija. Mfano kuchapisha kalenda na kujenga vitega uchumi visivyo leta faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanza weweNamuombea kifo cha mapema ili tupumue
kwahiyo unataka kusema lisu naye alijipiga risasi ili aje kugombea urais?