Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

πŸ˜€ utaona humu wanavyopita na mapambio yao ya ashurukuriwe mtukufu

Hii ndio maana ya kuwa na Rais anaye jali watu anaowangoza, sikukuu na mapumziko bado yuko ofisini anatatua matatizo ya Watu. Sio serena kule serengrti au jamaica kwenye bembea, tofauti ni kifo na usingizi na niwazi kabisa kwa kila mmoja kujionea. Sitamwelewa JPM kama hatakubali kutongoza mpaka 2030 angalau aondoke katuachia na,katiba ya wananchi.
 
SAFII SANA MH. RAIS MAGUFULI. God bless you
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha utoto, kama huna hoja kaa kimya.
 
kila mtu akinunua bajaji atakayepanda ni nani ?
 
Bado siku chache tutakuwa 2019. Uchaguzi ni 2020. Kipindi cha mpito hadi 2023.

Akili kichwani.

Bado kulikuwa na mfuko kama PPF chenye kikokotoo hicho cha 25%. Hao hakuna nafuu yoyote.
 
Yani nyie magamba shida kweli, nyie mwanzo si mlikuwa mnapongeza kuwa 20% ni sawa, leo tena ooh Rais kafanya sawa, mko ka kinyonga bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…