Pole sasa ulijitoa muhanga kuwa kuhakikisha wastaafu wanateseka kumbuka na wewe ni mtumishi utastaafuKama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka
Mh, kuna watu wanadhambi balaa, eti wanasema Jenista ni demu wa Pinda na ndo alimfanyia mpango kuingia kwenye kekiJENISTER MUHAGAMA MUST GO...
Hapo utakua umestaaf kabisa,sasa kuna vidada viko mapokez nssf vinatoa majib ambao hata hawayajui jiandaeDah, mwana kuna 50m wameikalia, hapo naenda kuishi shamba aisee.
unaongea na mimi unaongea na kipanya??hayo yako, Rais wa nchi apande kisiasa awe nani ziadi ya hapo.
Alisaini aisee...Alikuwa anasikilizia kelele! Hata siku ile ya Mnyika akaishia kutoa vijembe. Kama walau tusingepiga kelele jamaa alikuwa anazunda akaendeleze miradi na viwanda! Si unaona hata swala la nyongeza ya mishahara?Hivi alisaini kuwa sheria Mkuu ?
Saa nyingine ni busara kusikiliza na kusoma kimya kimya bila kuchangia kitu.watu wanatafuta kiki tu hapo.
wametengeneza tatizo ili waonekane wamelitatua!
si ajabu waziri mhusika akatolewa kafara.
Kama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka
Di ni amewakilishwaHuyu muhindi hana la kusema kaenda kufanya nini!??
We jamaa uko wapi utaratib Wa zaman umerud nenda kachukue Pesa yako uongeze mkeFAO LA KUJITOA AKUMBUSHWE ASIJE KUSAHAU..
Kila kitu kimerudi kama zamani mkuuWadau , naombeni mnieleweshe Kama FAO LA KUJITOA limerudi nikalambe changu nipate mtaji
Yaan na ile hoja yake ya mikopo ya nyumba.Pole sasa ulijitoa muhanga kuwa kuhakikisha wastaafu wanateseka kumbuka na wewe ni mtumishi utastaafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka
Bahati mbaya sana serikali hii ndivyo ulivyosoma.Kufuata upepo/bendera ni kigezo kwenye teuzi za awamu hii.BINARY NO hao wanaopewa maagizo hawana uwezo wa kufikiri? Kama wewe ni mteule na unaenda mwendo bendera hufai. Yaani huwezi kutumia hata common sense na logic kidogo na kuweza kusema hapana kwa kutoa supporting facts!
Huyu jamaa nilishangaa alipomtimua Mwiguru akidai amechoka kutoa pole wakati yeye ndiye chanzo cha matatizo na alifanya hivyo baada ya " mtoto wake" kumzidi ujanja na kuwafanyizia hata wale wasiohusika na maelekezo yakeTafakuri
Ukiona Mzazi wako anapenda kutengeneza tatizo kisha analitatua yeye mwenyewe, tena kwa kujifanya kwamba tatizo hilo limemuuma na anawajibika kulitatua yeye kwa sababu ana upendo sana, watoto mnatakiwa kuwa makini sana na vyanzo vya matatizo yenu katika familia.
Mosi, kama ikitokea kwamba tatizo lolote yeye hakulisababisha lazima Mtoto utawajibishwa tu tena bila huruma. Pili, Mzazi wenu akiwa ana tabia hizo mjue ni mpenda sifa kwelikweli. Tatu, ataendelea kutumia njia hiyohiyo ya kuanzisha matatizo na kuyatatua endapo watoto mtapiga kelele nyingi. Mkinyamaza mjue kwamba itakula kwenu na mtaumia kwelikweli.
Suluhisho Mzazi wenu akikosea mwambieni mapema kwamba, hili tatizo chanzo chake ni hiki, lakini kamwe hawezi kukiri kwamba yeye ndo kasababisha. Akijirudi ni kushukuru maana katambua alipokosea japo hataki kukiri kosa.
#LeaveUrLegacy
Simon Ngusa Jilala
Ingekuwa ulaya sawa ila hapa bongo siyo rahisi kwa watu wengi.Ajiuzulu