Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Huyu muhindi hana la kusema kaenda kufanya nini!??
 

Ukifanya kazi inayoonekana private sector utapewa hadi private jet. Wewe unafanya kazi kama upo serikalini wakati mwajiri wako ni private sector unategemea ulipwe zaidi? Forget it.
 
Rais amekuwa na roho ngumu nakajitoa mhanga sana kurusha hii live..

Maana hap Anazungumziwa yeye na ukatili mkubwa waliofanyiwa wafanyakazi.

Amejitahidi mnoo..
Ni mashambulizi tuhh
 
Huyu mama Ireen mbeya sana halafu anamuita rais mwenyekiti
 
Magu mjanja,ashajua tu Hili jambo likipinduka 2019 hili ni kaa la moto kwake....na leo atatoa maamuzi leo magumu sana ya kuwafurahisha wafanyakazi maana ndo wapiga kura wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…