msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuuHii yote ni katika ule mkakati wa kutafuta sifa. Tatizo kalitengeneza mwenyewe sasa anataka alitatue ili asifiwe. Anataka kila mara kuwa live ila bunge kuwa live hataki kusikia kabisa. kiumbe selfish kupitiliza
FAO LA KUJITOA VIPi jamani ?Hata mie though sina uhakika kama upande wa fao la kujitoa itazungumziwa
niamini mimi mzee...!!Siamini unachokiongea
JENISTA Bongr la Mchawiiiii hata peramiho anajulikana hivyoHao ndo wameharibu mkuu..wamepigilia misumari ya moto hapo
JENISTA Bongr la Mchawiiiii hata peramiho anajulikana hivyo
HIVI MKUU KUMNYIMA MTU CHAKE ALIYEFANYA KAZI PRIVATE SECTOR NI HALALI KWELI??JENISTER MHAGAMA NA HUYU MAMA IRENE WA SSRA YAPASWA WATUMBULIWE HAPOHAPO, HAWAYAJUI MAISHA YA WANYONGE WA TANZANIA, HAWAJUI HALI HALISI YA WAAJIRIWA WA TANZANIA, SUALA HILI LA KIKOKOTOZI NA FAO LA KUJITOA LINAHITAJI WATU WENYE AKILI TIMAMU KULETA SULUHU LA KUDUMU ILI LISIUMIZE WAFANYAKAZI..
JENISTER MHAGAMA NA HUYO MAMA IRENE THEY MUST GO..