Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

all the best JPM tubebe wafanyakazi
Sawa
IMG-20181228-WA0014.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira mgumu analo hiloo,,dunia itashangaa sana ikisikia ati kashinda uraisi huyu mzee 20/20
 
Pamoja na kwamba jana walijifanya kuongea na waandishi wa Habari,.....

Huu ndio sasa ujumbe kamili na maalum kwa wafanyakazi wote kwamba huyu ndiye jiwe imara lilokuwa nimeamua na kuhakikisha swala LA kikokotoo kuwa 25% linabaki na lazime lipite na litekelezwe full stop.

Our worst enemy is our own servant.. you can't believe this... Why praying for you???? And why not cursing and bewitching you???
 
Hao nao naona wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu tu hamna jipya
 
JENISTER MHAGAMA NA HUYU MAMA IRENE WA SSRA YAPASWA WATUMBULIWE HAPOHAPO, HAWAYAJUI MAISHA YA WANYONGE WA TANZANIA, HAWAJUI HALI HALISI YA WAAJIRIWA WA TANZANIA, SUALA HILI LA KIKOKOTOZI NA FAO LA KUJITOA LINAHITAJI WATU WENYE AKILI TIMAMU KULETA SULUHU LA KUDUMU ILI LISIUMIZE WAFANYAKAZI..

JENISTER MHAGAMA NA HUYO MAMA IRENE THEY MUST GO..
 
Naona JPM anaenda kuchukua point za mezani kwa watumishi,hapo bado July 2019 ndo kabisaaa anaenda kuongeza mzigo wa kutosha,2020 anashinda asubuhi mapeemaaaa,siasa bana game of techniques
 
JENISTER MHAGAMA NA HUYU MAMA IRENE WA SSRA YAPASWA WATUMBULIWE HAPOHAPO, HAWAYAJUI MAISHA YA WANYONGE WA TANZANIA, HAWAJUI HALI HALISI YA WAAJIRIWA WA TANZANIA, SUALA HILI LA KIKOKOTOZI NA FAO LA KUJITOA LINAHITAJI WATU WENYE AKILI TIMAMU KULETA SULUHU LA KUDUMU ILI LISIUMIZE WAFANYAKAZI..

JENISTER MHAGAMA NA HUYO MAMA IRENE THEY MUST GO..
HIVI MKUU KUMNYIMA MTU CHAKE ALIYEFANYA KAZI PRIVATE SECTOR NI HALALI KWELI??

MI ROHO INANIUMA SANA SANA TU , MI NIKITEGEMEA HIYO HELA I WE MTAJI NIFANYE BIASHARA ZANGU LAKINI WANAKATAA KUTOA
 
Back
Top Bottom