Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 905
Hii kazi ya sanaa imenifanya niwaze mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka umaarufu.watu wanatafuta kiki tu hapo.
wametengeneza tatizo ili waonekane wamelitatua!
si ajabu waziri mhusika akatolewa kafara.
Infact ameelekeza hilo la 25% waliangalie upya na anasema wafanyakazi wasipunjwe fedha zao...kitu nachodhani kinawafeva pia wanaoendelea.Mpaka 2023 sisi wengine itausaidia nini ambao tunastaafu baada ya miaka kadhaa mbele sana?acha kuongea ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama inakuuma, chomoaHakuna cha wapinzani wala nini, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ndiyo walimtafuta rais, waliomba kuonana naye na siyo hiyo misukle ya upinzani ambayo haijui kitu
Seriously! Tatizo hili linetengenezwa sasa waliotengeneza wanataka tuwapongeze na kuwashukuru. Halafu wafanyakazi watashangilia kweli kweli! May 1, 2019 ataongeza mshahara kiduchu, watashangilia zaidi na kusahau maovu yote ya awamu hii. Watanganyika ni wadanganyika kweli kweli na watawala wanaendelea kufurahia!Aliyetengeneza tatizo eti leo anatafuta kiki kwa kujifanya anatatua ! poor Tanzania !
Bulaya ndio alitengeneza au!!! Nenda kaone twitt za wabunge wenu wanavyomsifu. Poor ChadomoSeriously! Tatizo hili linetengenezwa sasa waliotengeneza wanataka tuwapongeze na kuwashukuru. Halafu wafanyakazi watashangilia kweli kweli! May 1, 2019 ataongeza mshahara kiduchu, watashangilia zaidi na kusahau maovu yote ya awamu hii. Watanganyika ni wadanganyika kweli kweli na watawala wanaendelea kufurahia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kukutengenezea tatizo na kulitatua yeye mwenyewe ....[emoji23][emoji23][emoji23]naona Magufuli kasambaratisha ubongo wako mpaka umeshindwa kuandika vizuri. poleni sana CHADEMA huyu ndio Magufuli mtetezi, mzalendo, mchapakazi na muwajibikaji hasa
Nastafu 2023 kwahiyo naweza kuwa mhanga wa 25%?Mh, Rais John Pombe Magufuri ametigua kitendawili hicho baada ya kusema kila mfuko uendelee na kanuni yake ya kikokotoo kwa wastaafu mpaka mwaka 2023. Pia ametoa maelekezo yafuatayo kwa mifuko ya hifadhi ya jamii
1). Kuhakikisha hakuna wastaafu hewa kwenye daftari la wastaafu.
2). Mifuko ya jamii kupunguza matumizi yasiyo na tija. Mfano kuchapisha kalenda na kujenga vitega uchumi visivyo leta faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Game nzuri sanaBaada ya kukutengenezea tatizo na kulitatua yeye mwenyewe ....[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania mna safari ndefu ya kufikia uhuru wa akili zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mkuu, walivyo zero brain watakuja tena kupongeza, maana walivyi na IQ ndogo, wataanza kupongeza,
Wanaccm waliokuwa wanatetea hii fomula ya kukokotoa watampongeza rais?
Siasa za Magu zinawatesa zaidi wanaCCM maana hawajui wapi wasimame naye ili kesho wasiumbuke!