Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Hii kazi ya sanaa imenifanya niwaze mengi sana.

IMG-20181228-WA0035.jpg
 
mmmmh!
Ataichungulia hiyo mifuko hadi 2023

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Nimekumbuka ule msemo unaosema hakuna aliyeona kesho yake.
Ana uhakika 2023 atakuwa bado ana mamlaka ya kuichungulia. Safi sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimepitia uamuzi wa Mh. Raisi kwa kuamvua kirudisha mfumo wa ukokotiaji na ulipwaji wa mafao kuwa kama ilivyokuwa huko mwanzoni kwa kipindi cha mpito mpaka hapoa 2023, nampa pongezi

Hala hala mifuko mmeambiwa mboreshe daftari isije kuwa ndio gia ya kutokutoa mafao kabisa, tumepiga makofi na nyimbo tumeimba, imekuwa ni kama kasumba yakitoka maagizo kama hayo basi watekelezaji wanaharibu huku chini kunakiwa na uoneaji wa kutisha mf. Ishu ya korosho ulipwaji, uhakiki wa watumishi, vyeti hewa pamoja na upandishaji wa madaraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jambo hili halikutengenezwa kwa ajili ya kiki basi Mh. J.Mhagama atakuwa amejifunza sasa Rais Magufulini ni nani!
Wafanyakazi wote wanakila sababu ya kumlaumu waziri J.Mhagama kwa kupigana kwa nguvu zake zote ili wastaafu walipwe 25% ya mafao yao badala ya 50%.
 
BORA KILA MTU AFE NA CHAKE MAPEMA KULIKO KUTULETEA VIKOKOTOZI NA MAFAO YA OVYO OVYO,SIJUI FAO LA KUKOSA AJIRA SSRA SOMA HIYOOOOO
MTU AKIACHA ,AKIACHISHWA AU AKISTAAFU APEWE CHAKE ATAJIJUA MWENYEWE AKAFIE MBELE.
KULIKO KULETA MAKANUNI YA OVYO
 
mmmmh!
Ataichungulia hiyo mifuko hadi 2023

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Nimekumbuka ule msemo unaosema hakuna aliyeona kesho yake.
Ana uhakika 2023 atakuwa bado ana mamlaka ya kuichungulia. Safi sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hakuna cha wapinzani wala nini, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ndiyo walimtafuta rais, waliomba kuonana naye na siyo hiyo misukle ya upinzani ambayo haijui kitu
Kama inakuuma, chomoa
 
Aliyetengeneza tatizo eti leo anatafuta kiki kwa kujifanya anatatua ! poor Tanzania !
Seriously! Tatizo hili linetengenezwa sasa waliotengeneza wanataka tuwapongeze na kuwashukuru. Halafu wafanyakazi watashangilia kweli kweli! May 1, 2019 ataongeza mshahara kiduchu, watashangilia zaidi na kusahau maovu yote ya awamu hii. Watanganyika ni wadanganyika kweli kweli na watawala wanaendelea kufurahia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI kwa nini serikali ya CCM inaleta mkanganyiko halafu inatumia kwa ajili ya Propaganda?

Kwenye hili la mafao mbona halikuhitaji Propaganda ila naona sasa wale wazee wa kuunga mkono wataanza kushangilia MAGUFULI MSIKIVU KUMBE HAKUNA JIPYA
 
Seriously! Tatizo hili linetengenezwa sasa waliotengeneza wanataka tuwapongeze na kuwashukuru. Halafu wafanyakazi watashangilia kweli kweli! May 1, 2019 ataongeza mshahara kiduchu, watashangilia zaidi na kusahau maovu yote ya awamu hii. Watanganyika ni wadanganyika kweli kweli na watawala wanaendelea kufurahia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bulaya ndio alitengeneza au!!! Nenda kaone twitt za wabunge wenu wanavyomsifu. Poor Chadomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona Magufuli kasambaratisha ubongo wako mpaka umeshindwa kuandika vizuri. poleni sana CHADEMA huyu ndio Magufuli mtetezi, mzalendo, mchapakazi na muwajibikaji hasa
Baada ya kukutengenezea tatizo na kulitatua yeye mwenyewe ....[emoji23][emoji23][emoji23]

Watanzania mna safari ndefu ya kufikia uhuru wa akili zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh, Rais John Pombe Magufuri ametigua kitendawili hicho baada ya kusema kila mfuko uendelee na kanuni yake ya kikokotoo kwa wastaafu mpaka mwaka 2023. Pia ametoa maelekezo yafuatayo kwa mifuko ya hifadhi ya jamii

1). Kuhakikisha hakuna wastaafu hewa kwenye daftari la wastaafu.

2). Mifuko ya jamii kupunguza matumizi yasiyo na tija. Mfano kuchapisha kalenda na kujenga vitega uchumi visivyo leta faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nastafu 2023 kwahiyo naweza kuwa mhanga wa 25%?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kukutengenezea tatizo na kulitatua yeye mwenyewe ....[emoji23][emoji23][emoji23]

Watanzania mna safari ndefu ya kufikia uhuru wa akili zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Game nzuri sana
In politics hiyo ni both team will score....
Nothing happen kwa bahati mbaya, if it happen it was planned.
Tukutane 2020

Game nzuri some how ina manufaa, tunashukuru. Sometimes game nyengine nzuri hatuna budi kuzipongeza . Imekaa vizuri ndugu zetu leo watapumua.[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom