Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani Kama Kuna mtu ameshawahi kupata
Basi nimepitwa aiseeKalizungumzia rudia kusikiliza hotuba yake
Kaka Paskali alisemaje jamaa? mbona mimi sikumsikia?Kitu kilikuwa mubashara na kalizungumza vizuri sana na kulipangua!.
P.
Nikweli sema ingia YouTube ipitieBasi nimepitwa aisee
Hapo bado UVCCM wataandika gazeti.
Vipi Kigwangwala kasemaje?
alizungumzia vizuri sana. Amesema migodini na kwenye contractors, ajira ni za muda wa miaka miwili mitatu, haingii akilini kuambiwa usubiri mafao yako hadi ufikishe umri wa miaka 60!.Kaka Paskali alisemaje jamaa? mbona mimi sikumsikia?
Lisu.......Mnyika.........mara kalileta mwenyewe katatua mwenyewe............Next..............nasubiri wa kuleta sababu ya MboweWalilitengeneza tatizo la kikokotoo right from the outset kwa makusudi. Hili si suala la mjadala tena.
1. Serekali na CCM walikuwa wanajua fika wanachokifanya kwani hawana hela ya kutosha wala wafadhili (matajiri) kwa ajili ya 2020. Hii mifuko ni moja ya tegemeo lao kubwa (cash cow). Walijua Watanzania wangeishia kulalamika tu, so walitegemea hili lingepita kimya kimya.
2. Kibano cha Mh Esther Bulaya & co kimewafadhaisha mno baada ya kuonekana dhahiri kuungwa mkono na wahanga na Watanzania kwa ujumla. Ndiposa wakaamua kukamilisha igizo lao ili steringi asiuawe kwa kuita presser ya dharura leo asubuhi pale Magogoni.
Hongera sana mh Bulaya. Hongera sana vyama vya upinzani. Wananchi tunaujua umuhimu wenu katika kuutafuta uhuru dhidi ya hawa wakoloni weusi.
View attachment 979664
Hadi sasa tupo wawili mimi na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kwa Mara ya kwanza toka local Chanel zmezimwa ndo naangalia tbc
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo ametuacha njia panda sasa angelitolea maamuzi kama alivyofanya kwa kikokotoo.alizungumzia vizuri sana. Amesema migodini na kwenye contractors, ajira ni za muda wa miaka miwili mitatu, haingii akilini kuambiwa usubiri mafao yako hadi ufikishe umri wa miaka 60!.
P.