Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Huwezi kumpongeza Rais kwa hayo kwasababu ni wajibu wake kufanya hayo maana anaishi kwa kodi (PAYE) wanazokatwa hao hao wafanyakazi.. So, wafanyakazi ndo mabosi zake anahitaji afanye kila liwezekanalo kuwasaidia.
 
ni fedheha kubwa hata watoto wa praimari wameng'amua na wana discuss. Imagine!!
 
Kaka Paskali alisemaje jamaa? mbona mimi sikumsikia?
alizungumzia vizuri sana. Amesema migodini na kwenye contractors, ajira ni za muda wa miaka miwili mitatu, haingii akilini kuambiwa usubiri mafao yako hadi ufikishe umri wa miaka 60!.
P.
 
Walilitengeneza tatizo la kikokotoo right from the outset kwa makusudi. Hili si suala la mjadala tena.

1. Serekali na CCM walikuwa wanajua fika wanachokifanya kwani hawana hela ya kutosha wala wafadhili (matajiri) kwa ajili ya 2020. Hii mifuko ni moja ya tegemeo lao kubwa (cash cow). Walijua Watanzania wangeishia kulalamika tu, so walitegemea hili lingepita kimya kimya.

2. Kibano cha Mh Esther Bulaya & co kimewafadhaisha mno baada ya kuonekana dhahiri kuungwa mkono na wahanga na Watanzania kwa ujumla. Ndiposa wakaamua kukamilisha igizo lao ili steringi asiuawe kwa kuita presser ya dharura leo asubuhi pale Magogoni.

Hongera sana mh Bulaya. Hongera sana vyama vya upinzani. Wananchi tunaujua umuhimu wenu katika kuutafuta uhuru dhidi ya hawa wakoloni weusi.

View attachment 979664
Lisu.......Mnyika.........mara kalileta mwenyewe katatua mwenyewe............Next..............nasubiri wa kuleta sababu ya Mbowe
 
alizungumzia vizuri sana. Amesema migodini na kwenye contractors, ajira ni za muda wa miaka miwili mitatu, haingii akilini kuambiwa usubiri mafao yako hadi ufikishe umri wa miaka 60!.
P.
hapo ametuacha njia panda sasa angelitolea maamuzi kama alivyofanya kwa kikokotoo.
Hili linawagusa vijana wengi kuna haja ya kuliangalia upya
 
Juzi TBC imetuonesha wazee wawili kwenye Habari yao wakitetea huo ujinga WA 25% lump sum nkapata shauku ya kujua ni akina nani hao ebanaee tukaambiwa Ni maProf wa UDOM! Mpaka leo siamini maana hoja Yao ya kipumbavu kweli.SIJUI HIVI SASA WANAJISIKIAJE?
 
Back
Top Bottom