Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Sheria huambatana na kanuni za jinsi ya kuitekeleza pamoja na vifungu vya adhabu kwa watakaoivunja. Swali langu, kama sheria ile aliisaini kwa maana kuwa itumike, ni sahihi kuitengua kwa tamko badala ya kuirudisha bungeni kufanyiwa amendment? Hebu fafanua hapa kidogo kwa faida ya wengine wenye shaka!
Sheria iliyopitishwa na Bunge yaani kwa kimombo inaitwa Act ukitaka kuibadilisha lazima upeleke Muswada Bungeni ujadiriwe then kupitishwa kuwa sheria baada ya kusainiwa na Rais. Lakini Kanuni inatungwa na kupitishwa na Waziri ambaye pia ana mamlaka ya kuibadirisha wakati wowote. Hivyo leo kilichofanyika ni kuifuta kanuni iliyotungwa na kupitishwa na waziri na badala yake ikabaki kanuni ya awali
 
ISIS ataficha wapi sura yake walahi
tapatalk_1492704158757.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikokooteo hakipo kwenye sheria bali kwenye Kanuni inayopitishwa na kusainiwa na Waziri tu mkuu.
Ni kweli mkuu nimekumbuka subsidiary legislations zinasainiwa na mawaziri...sema ilibid atumbuliwe yule mama mhagama
 
Mkuu unajua sikuwepo Nchini, embu nikumbushe hii Sheria wakati bado iko muswada (Bill) ni nani alieisaini kua sheria
Magufuli , nakushauri ufungue uzi kuhusu hili , nina hakika uzi wako utakiki vibaya !
 
hahaha mbona kikokotoo kilipopita upinzani ndiyo walilalamika sasa maamuzi yamechukuliwa kwa wakati mnaanza kulialia, Upinzani Tanzania hakuna yamebaki majigambo tu

Hiyo inaitwa chukua maamuzi magumu kwa wakati.Hongera JPM kura yangu 2020 kwako
Aliyezalisha tatizo ndiye aliyelitatua ili uamini hilo hakuna mtumishi aliyelipwa kwa kanuni hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu wamechota trillions 8 hawataki kuzilipa na kwa unafiki wake hakuzisema hizo. Inawezakana kabisa kulipa wastaafu 75% ya mafao kwa mkupuo ikiwa tu Serikali italipa deni lake lote na kuacha kabisa kutumia pesa ambazo si zao.
Ukishamlipa mstaafu 75% ya pension yake, kilichobakia kitakuwa kidogo sana, kiasi kwamba una create tatizo lingine, ndio maana kuna wastaafu wanasubiri miezi sita at least hela iwe nyingi vinginevyo akifuata kila mwezi itakuwa inaishia kwenye nauli tu au hata isitoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu ni ubaguzi mkubwa Mkuu. Kama waheshimiwa mafao yao mkupuo wa kwanza ni 75% basi wastaafu wote walipwe 75% na Serikali ilipe haraka deni la trillion 8 ili kuhakikisha malipo ya wastaafu nchini hayacheleweshwi.

Ukishamlipa mstaafu 75% ya pension yake, kilichobakia kitakuwa kidogo sana, kiasi kwamba una create tatizo lingine, ndio maana kuna wastaafu wanasubiri miezi sita at least hela iwe nyingi vinginevyo akifuata kila mwezi itakuwa inaishia kwenye nauli tu au hata isitoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ukawa sahihi mkuu Mr Q , ila kumbuka huyo bwana hashindwi kitu inapokuja suala la kugain sifa za kisiasa. Usishangae leo akasema anatoa 100% zote😁😁😁
kasema after 2023 hata wakikubaliana 70% hana tatizo hahah yaan jamaa huyu bana
 
Ndugu zangu wa sekta binafsi hili jiwe linayumba emu tu test mitambo FAO LA KUJITOA. Nyumbu za lumumba mwambien jiwe ajikune uone.

Jiwe anatafuta kiki HAMORAPA, DR. SHIKA hawezi. Sasa anafukuzana na mzee wa LIKWIDII kwa kiki
 
WASISAHAU FAO LA KUJITOA,WATUREJESHEE TAFADHALI
AU WAFANYE UTARATIBU WANACHAMA WAWEZE KUKOPA BANK KIASI KISICHOZIDI NUSU YA MICHANGO YAO IWE DHAMANA,ILI WAJIKWAMUE KIUCHUMI
Haya mambo ya kuandika kwa herufi kubwa tupu kama heading za barua za kuomba kazi mwisho December 31, 2018
 
Ukishamlipa mstaafu 75% ya pension yake, kilichobakia kitakuwa kidogo sana, kiasi kwamba una create tatizo lingine, ndio maana kuna wastaafu wanasubiri miezi sita at least hela iwe nyingi vinginevyo akifuata kila mwezi itakuwa inaishia kwenye nauli tu au hata isitoshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili Za Deo Kisandu hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom