Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh yaani wanatia kinyaa hawa wasomi wetu.Mtu profesa bado ana njaa Kali?Ona sasa atakulaje matapishi yake tena?anausaka uwaziri lazima atapike na kula matapishi
Ukionesha comment yangu hata Moja kussupport hiyo 25% naacha kuchangia JF Kwa miaka miwiliUmebadilisha kauli tena si ulikuwa unamtetea MHAGAMA na kanuni yake ya jikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani popoma mwenzangu Akili kubwa hawatakuelewa(vise versa)Nahisi Makao Makuu hasa Kitengo cha Propaganda leo kimetoa AMRI kuwa Wanachama wote waje JamiiForums kuanzisha tu Mada mbalimbali za Kusifu kama siyo Kupongeza na kwakweli leo naziona nyingi sana. Kumbe huwa mpo? Natumai leo ile Bajeti ya Watu wa Propaganda itakuwa imetumika na inatumika vizuri sana na siyo Siri mnajitahidi kwani kila baada ya dakika 15 tu naona ID mpya inaanzisha Mada ya Kupongeza kama zingine ila kinachofanyika ni kwamba kila anayeanzisha anakuja na Topiki yake.
Safi sana!
Nawasilisha.
Jifisi limeona mnofuAsante kwa Kunipenda Mkuu ( Dada ) nami nakupenda pia Demiss naomba nikusifie.