Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Mnijuze please. Hii sheria ilitungwa na bunge na kuidhinishwa na rais na wizara husika kutunga kanuni za mifuko mipya? Kama ni ndio, yaliyojiri kikao cha leo yana furahisha.
 
Nahisi Makao Makuu hasa Kitengo cha Propaganda leo kimetoa AMRI kuwa Wanachama wote waje JamiiForums kuanzisha tu Mada mbalimbali za Kusifu kama siyo Kupongeza na kwakweli leo naziona nyingi sana. Kumbe huwa mpo? Natumai leo ile Bajeti ya Watu wa Propaganda itakuwa imetumika na inatumika vizuri sana na siyo Siri mnajitahidi kwani kila baada ya dakika 15 tu naona ID mpya inaanzisha Mada ya Kupongeza kama zingine ila kinachofanyika ni kwamba kila anayeanzisha anakuja na Topiki yake.

Safi sana!

Nawasilisha.
 
Mtani popoma mwenzangu Akili kubwa hawatakuelewa(vise versa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo jema kupongeza, na vizuri zaidi kufafanua kuwa kikokotoo kimeahirishwa hadi 2023 (hakijafutwa), na inahusu watumishi wa umma pekee, wale wa NSSF wanaendelea na 25% hakuna mabadiliko. Nimeona TUCTA wanashangilia, sijui wafanyakazi sekta binafsi wanatetewa na nani
 
Mtani popoma mwenzangu Akili kubwa hawatakuelewa(vise versa)

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu kila Siku huwa unajinasibu kuwa ni Mtani wangu je unatoka Kabila gani Mkuu?

Watani zangu wakubwa upande wa Baba GENTAMYCINE ni:

1. Wahaya ( Kagera )
2. Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
3. Waha ( Kigoma )
4. Warangi ( Kondoa Dodoma )
5. Wakara ( Ukerewe Mwanza )

Watani zangi wakubwa upande wa Mama GENTAMYCINE ni:

1. Wangoni ( Ruvuma )
2. Waluguru na Wapogoro ( Morogoro )
3. Wandengereko ( Rufiji Pwani )
4. Wazaramo ( Dar es Salaam )
5. Wakwere ( Pwani )

Nasubiri jibu langu hapo tafadhali ili nianze Kukujua mapema na niwe na Kibali Maalum cha kuwa nakupiga Madongo hapa 24/7.
 
Nilitegemea kumsikia Mh.Waziri wa Kazi Jenifer Mhagama akiwajibika kutokana na watendaji wa chini yake kumpotosha Mh.Rais mpaka kumfanya asaini sheria iliyopelekea kutungwa kwa kanuni mbovu na KIKOKOTO Kilichopingwa Nchi nzima.Kitendo cha kumfanyaMh. RAIS aingilie kati suala hili ni ushahidi tosha kuwa Waziri Mhagama ameshindwa kuwasimamia watendaji wa chini yake hivyo alipaswa kabla ya saa 12 jioni angetangaza KUJIUZULU. Miaka ya utawala Awamu ya 1 Mh.Mzee Mwinyi aliwajibika kwa makosa yaliyotendwa na watendaji wake.Mh.Waziri Mhagama Jiuzulu utaonekana umekomaa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho tatiza,

Hao wanao mwaga sifa kedekede humu JF, kuhusu mageuzi aliofanya ADMINI kule magogoni pamoja na kuiponda vikali hio sheria ya vikokotoo. Mbona hawaongelei wala hawahoji juu ya maamuzi;

1) Sheria ile ilipitishwa bungeni kwa amri ya nani (Wabunge wa CCM walitii wito wa nani).

2) Kutumbuliwa peke yake, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA), Dkt. Irene Isaka.

Halafu kuachwa hawa viumbe;

1) Huyu alietia SIGNATURE kwenye hio sheria iliomchafua ADMINI (Kila nikiisoma hii sheria nasikitika sana juu ya huyu mama alivyowaadhibu wazee wetu Tanzania)
Screenshot_2018-12-28-23-09-54-1.jpg

2)Huyu aliowaponda wastaafu ambao ADMINI amewatetea (Kwa kusema KUSTAAFU ni heshima, sio laana), ila huyu mtu aliwaponda kwa KEJELI na KICHEKO.
tapatalk_1543171809796.jpeg

Wanasubiri nini ofisini.
Nawasilisha,
 
Back
Top Bottom