Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Utamsikia kwenye teuzi za Mawaziri. Atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani aendelee kuwanyoosha
Unaroho mbaya daaaAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Usiiamini sana siasaIle ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Unaroho mbaya daaa
Haya buana mwisho wa episodi mtaibikaHao akina Lissu waliopigwa risasi 16 unawaonaje? Hao akina Clouds waliokuwa wanavamia na wanajeshi wenye bunduki, unawaonaje? Na tena bado. Wanasema malipo ni hapahapa duniani. You live by the sword, you die by the sword, kwa Kimakonde.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Mara paap, jina linakatwa!
Sure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.Magu alisema akikutaka uwe waziri hata usipogombea ubunge atakuteua tu
Anaandaliwa kuwa Waziri..Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Huyo anaenda kupewa MHIMILI wake kaka timu linatengenezwa hapo kaka ohoooAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Maswahiba wake wote wamechuku form Alexander mnyeti,kippi warioba ,makonda hawakatwi haoSure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.
Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.
Swali ni je, watamkata?
Huyo anaenda kupewa MHIMILI wake kaka timu linatengenezwa hapo kaka ohooo
Yaani watu kupotea kwa heri, mtandao wa wasiojulikana kwaheli, jamani acha tupumue maana maneno yake ya shombo yalitukatisha tamaa. Juzi Polepole kampa za uso, uwezi kumtoa Dr. Msoni ukamweka huyu poyoyoAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Huyo anaenda kupewa MHIMILI wake kaka timu linatengenezwa hapo kaka ohooo
HatakatwaSure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.
Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.
Polepole kasema kabisa anasikia mkuu wa mkoa anataka kugombea jimbo Kigamboni.
Akatoa salamu zimetoka kwa Magu (sijui hawawezi kupigiana simu au ndiyo show ya jamii tu?). Message ni kwamba, akigombea atakatwa.
Swali ni je, watamkata?
Yaani we huamini au? Ndo hivyo mzee kikosi kinaandaliwa hicho na zaidi anaweza hata kupewa mhimili mmoja we subiri baada ya oktoba Mkuu tuombe uhai.Yani BASHITE awe waziri!?? Em shirikisheni Bongo kufikiri.
Usimwamini sana Jiwe, huwa anabadilika kama kinyonga.Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.
Hii kauli itaondoka na wengi.