Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Bhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
Furaha yako soon baada ya October itageuka huzuni, tafakari sana, Makonda ubunge ni planned mission, sasa wewe endelea kushangilia
 
Hii ni mipango tu,makonda ameachia ukuu wa mkoa huku amehakikishiwa ubunge pengine na uwaziri.
Sijui kwanini uwa nawaza hivi, Makonda Paul anaweza akachezea Uwaziri wa Mambo ya ndani serikali ijayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…