BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkuu Bashite na vyeti wapi na wapi?
Aje hapa Aoneshe vyeti zero brain huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje hapa Aoneshe vyeti zero brain huyo!
Magu alisema akikutaka uwe waziri hata usipogombea ubunge atakuteua tuBashite anagombea ubunge apate nafasi ya uwaziri.
Ile ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu ,unakuta mtu ana cheo fulani alafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.
Hii kauli itaondoka na wengi.
Tusubiri akipitishwa hapo itakuwa sawa lakini akikatwa tuu tutaongea menginePoint ni kwamba, ameachia ukuu wa mkoa, hivyo atasaidiwa kupata ubunge.
Ila yeye kachukua form na bado ni rais...
nan amsaidiePoint ni kwamba, ameachia ukuu wa mkoa, hivyo atasaidiwa kupata ubunge.
Huwezi jua jeshini alikuwa na kazi gani.Huyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
Anaenda kuwa waziri wa mambo ya ndani mkuu subiri uoneNa ahame nchi bila hivyo akae uani tuu akitoka tuu kunguru wanampitia
Furaha yako soon baada ya October itageuka huzuni, tafakari sana, Makonda ubunge ni planned mission, sasa wewe endelea kushangiliaBhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
Kwa kuwa kashaliongelea basi tulichukue kama alivyolisemaIle ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Tusubiri akipitishwa hapo itakuwa sawa lakini akikatwa tuu tutaongea mengine
Kweli mkuu acha tuishie hapoHuwezi jua jeshini akikuwa na kazi gani.
Naomba niishie hapo tafadhali.
Na akiahishindwa kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma tunaye! Ngoja tuone utaratibu wa kisheria unasema vipi kuhusu mtu baki kumshitaki!Mkuu Bashite na vyeti wapi na wapi?
Sijui kwanini uwa nawaza hivi, Makonda Paul anaweza akachezea Uwaziri wa Mambo ya ndani serikali ijayo!Hii ni mipango tu,makonda ameachia ukuu wa mkoa huku amehakikishiwa ubunge pengine na uwaziri.
Inawezekana sibishi hiloAnaenda kuwa waziri wa mambo ya ndani mkuu subiri uone