Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

amehakikishiwa kupata ubunge'
come rain come sun.
Rais wa wanyonge
 
Sijui kwanini uwa nawaza hivi, Makonda Paul anaweza akachezea Uwaziri wa Mambo ya ndani serikali ijayo!
Ndiyo kinachokwenda kutokea,Mzee anataka watu ambao wako tayari kumfanyia lolote bila kutumia utashi,fikra wala mioyo yao katika maamuzi yao. Makonda anasifa hiyo ya ndiyo Mzee bila kujiuliza moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…