Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Lazima Makonda ashinde. Akishindwa atapewa ubunge wa viti maalum vya kuteuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kippi nje. Ametia nia jimbo?
Kuna taarifa nyeti pia anachunguzwa na vyombo nyeti kwa matumizi mabaya ya ofisi
Anaweza chukua cheo cha waziri wa mambo ya ndani au waziri wa ulinziHahaha, watu wengi tunasubiri panga limpitie.
Usishangae akakatwa na akateuliwa upya.
Exactly, ameachia akagombee UbungePoint ni kwamba, ameachia ukuu wa mkoa, hivyo atasaidiwa kupata ubunge.
Kabisaaa!!!Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa.
Filimbi imepulizwa...Ile ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Waziri wako ajae huyuAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa.
Ndiyo kinachokwenda kutokea,Mzee anataka watu ambao wako tayari kumfanyia lolote bila kutumia utashi,fikra wala mioyo yao katika maamuzi yao. Makonda anasifa hiyo ya ndiyo Mzee bila kujiuliza moyoni.Sijui kwanini uwa nawaza hivi, Makonda Paul anaweza akachezea Uwaziri wa Mambo ya ndani serikali ijayo!
Anaweza chukua cheo cha waziri wa mambo ya ndani au waziri wa ulinzi
Wameshajua hauna maana bali ni sehemu ya kutafutia rizki zaoHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Akikatwa , ataingia bungeni kwa ubunge wa kuteuliwa.huwezi amini na kule anakatwa
Yani BASHITE awe waziri!?? Em shirikisheni Bongo kufikiri.Hii ni mipango tu, Makonda ameachia ukuu wa mkoa huku amehakikishiwa ubunge pengine na uwaziri
V tatu na kaua kamoja. Kama wewe umewahi kuishi kambini utanielewa tu.Huyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
Exactly, ameachia akagombee Ubunge
agizo kutoka kwa aliyemteua. hata huo ubunge hapati ng'oHaiwezi tokea labda Jiwe aondoke madarakani