Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Pongezi kwa Rais,naona kwa teuzi hizi walio wengi ni watumishi wa umma na wamekua promoted kama kanuni zinavyotaka,sio ile ya kutoa kada huko na kumpa ukurugenzi.
Safari hii clouds media hawajatulea mtumishi wa sirikali
 
Bhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
kwahyo bashite kuna ki2 nyuma ya pazia c bure
 
Huyu anaenda kuwa waziri kama hujalitambua uliejue sasa, alichofanya leo ndivyo alivyoambiwa na babaake anaehuskika na kukata majina.
Kwani kuwa waziri
Ni lazima akagombee ubunge jimboni ?
Hujui kwamba kuna wabunge 10 wa kuteuliwa na Rais.
 
Waziri wa Mambo ya ndani Mtarajiwa.
Mtoto wa Baba mwenye nyumba.
 
Bashite sio level zako dogo...utamzidi labda ndevu tu ila mwenzako ni level nyingine kabisa...Kwanza anapush Velar[emoji91]
Sasa Ata Push Up.. Na ndo byebye.
 
Je Magufuli atalikata jina la Bashite hata likipita kwenye kura za maoni?
Tusubiri tuone kama atasimamia neno lake.
 
Makonda yuko mbali sana usione kobe kainama jua anatunga sheria sio mjinga kuachia ukuu wa Mkoa kuna jambo.
 
Boss wa mkoa mawili inaweza ikiwa bye bye au ndo mwanzo wa kupaa
 
Siasa ni sayansi.

Za nyuma ya pazia zinadai malengo ya Paul Makonda ni kuongoza mhimili wa bunge katika bunge lijalo.

Nisiseme mengi ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
 
ogopa kitu kinaitwa siasa , siasa ni mchezo mchafu hauna tofauti na kamari siasa ni pata potea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…