Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Na msambwanda mnashikaKwahy sasa hivi tukikutana nae tunampa tano kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na msambwanda mnashikaKwahy sasa hivi tukikutana nae tunampa tano kama kawaida
Safari hii clouds media hawajatulea mtumishi wa sirikaliPongezi kwa Rais,naona kwa teuzi hizi walio wengi ni watumishi wa umma na wamekua promoted kama kanuni zinavyotaka,sio ile ya kutoa kada huko na kumpa ukurugenzi.
Ohooo akishinda ubunge?
Uwaziri mkuu huu hapa.
kwahyo bashite kuna ki2 nyuma ya pazia c bureBhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
Wee una ushahidi ukipelekwa ukatudhibitishie na kauli yako hii?Makonda ndio anashikilia funguo za mkulu kuingia Magogoni.
ahaaa,,,,hapo ni sawa kuheshimu wazazi.Haa hapo mtanikosa siruhusiwi kujihusisha na siasa nimekatwa na wazazi
Kwani kuwa waziriHuyu anaenda kuwa waziri kama hujalitambua uliejue sasa, alichofanya leo ndivyo alivyoambiwa na babaake anaehuskika na kukata majina.
Sasa Ata Push Up.. Na ndo byebye.Bashite sio level zako dogo...utamzidi labda ndevu tu ila mwenzako ni level nyingine kabisa...Kwanza anapush Velar[emoji91]
Ushahidi anao mhusikaWee una ushahidi ukipelekwa ukatudhibitishie na kauli yako hii?
Kwani nako uko kuna alietia Nia?Mbona dodoma hajateua mkuu wa wilaya?